Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

√ PSG ameshachukua Ligi ya Farmers

√ Juventus ameshachukua Ligi ya Farmers

√ Barcelona ameshachukua La Liga

• Germany Farmers??

• EPL ?
 
ilikua

muujiza umeushuhudia Leicister kuchukua ,hata wacheza kamari majuu tena wakongwe waliliwa maana katika watu 5000 waliobeti ni mmoja alisema wataupata ubingwa hivyo utulie hivyo hivyo tufanye yetu.
Huyu mmoja unempata wapi mkuu,wakati uk tu kabka ligi haijaanza waliweka 25,tho niian kuna wengine walicash out ila washindi ni wengi dunia nzima,tho majina yao kutajwa ngumu 'privacy'
 
Leo ni siku nyingine guardiola anaenda kuvunjilia mbali matumaini ya liverpool kuchukua epl kwa kuwapiga burnley gori 3-0 bila wasi wasi

Livepool poleni sanaa

KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE..
It's a thing to discuss niqqa. Unampa pole Liverpool ameshajikatia ticket ya UCL next season. Akikomaa anacheza fainali ya UCL back to back. Wakati wewe team yako hata haijui itamaliza nafasi ya ngapi this season? Are you serious?
Kabla hujaondoa kibanzi katika jicho la mwenzio angali kwanza boriti ndani ya jicho lako.
 
Klop hana historia ya kufika final na kuchukua kombee ,toka dortmund final zote anapoteza

Kwanza mikonon mwa barcelona hamwez Chomoka i promise you
 
1083215
 
Leo ni siku nyingine guardiola anaenda kuvunjilia mbali matumaini ya liverpool kuchukua epl kwa kuwapiga burnley gori 3-0 bila wasi wasi

Livepool poleni sanaa

KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE..
Lolote linawezekana, Turf moor haijawahi kuwaacha watu salama kiulaini wakaze matako pale.
 
Natabiri gemu ya leo Man City ana draw na Burnley afu apa ndo Liverpool anapata gap la kumuacha vizuri huyu Mbweha, bado next week ana game ya Leicester City ambaye leo kamnyoosha nyumbu Arsenal tatu bila, kumbuka Brendan Rogers nae ana damu ya Liverpool so hatamuacha kapa Man City.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom