Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nina uhakika Leicester city ana gemu tatu ngumu dhid ya Chelsea, Man city na Arsenal ..hivyo ni kwamba Man city na Chelsea watamkalisha na iyo nyingine dhid ya arsenal atakaza..

Kama mnamtegemea yeye eti kwa sababu kocha wa zamani a Liverpool ndo yuko pale basi mumekwama tayari. Kwanza Rodgers mlimtimua tena bila yeye kupenda, hivyo lazima atalipa tu ...pili kama mlimuacha Man city kwa gepu la point saba halafu kocha wenu Klopp akafeli kung'ang'ania ilo gap leo mnatgemea Leicester amzuie Man city hahahahahichi ni kichekesho kingine. Uwezo wa kubeba ubingwa mlikuwa nao ila kwa uzembe wa Klopp mtangoja tena msimu ujao...

Man city sidhani kama atakubali kudrop point kwenye gemu zilizobaki..
Unanifurahisha unajiaminisha kabisa Leicester kwa Chelsea atalegeza ila kwa arsenal atakaza,,ngoja tuone

Usije kulamba matapishi yako
 
Mkuu Chugga usimwazie sana Liverpool unajisumbua aisee, Liverpool hii tunaelekea kuzuri sana tu tangua aingie Klopp nyie mshapata makocha watatu Murinyo, Conte na Sarri na hali tete darajani kwanza usajili ndio mshafungiwa na Futuhi bado inawanga'ang'ania sipati picha akiodoka Hazard mtakua na hali gani...
Ya Liverpool tuachie wenyewe.

Mpira hua na matokeo usiotegemea,Barca huyu na ukali wake alipigwa na Roma UCL msimu uliopita hivyo anafungika na sisi kuingia fainali na kuchukua kombe, tupo positive...

Manciti na Liver ubingwa lolote linaweza kutokea na usiamini kabisa..

hivyo kua na maneno ya akiba..

je ikitokea Liverpool akapata UCL na EPL utajipga BAN kama kawaida yako...
Hahahahaha haiwezi kutokea mkuu. Na ikitokea itakuwa ni miujizaaaaaaa.....
 
Unanifurahisha unajiaminisha kabisa Leicester kwa Chelsea atalegeza ila kwa arsenal atakaza,,ngoja tuone

Usije kulamba matapishi yako
Hahahaha sasa mkuu unadhani kati ya Chelsea na Arsenal ni nan anastahili kufungwa na Leicester? Me naona kabisa iyo gemu ukipambana utaambulia draw tu...
 
Hahahaha sasa mkuu unadhani kati ya Chelsea na Arsenal ni nan anastahili kufungwa na Leicester? Me naona kabisa iyo gemu ukipambana utaambulia draw tu...
Kwamba Chelsea una timu bora?ngoja tuone labda kama Chelsea hatuijui, kwanza kesho kwa nyumbu ukichomoka nitashangaa
 
Ha ha ha ha ha ha Mimi ni shabiki wa Man U kindakindaki tena yule ambaye yupo tayari Man U isiingie top 4 ila Liver asichukue ubingwa. Na huyu ndiye shabiki kweli wa Man U anayeelewa maana ya kuwa Man United unayemzungumzia.

N way sisi ni maadui na watani pia kwenye soka la uingereza so usijali bro,it's a part of jokes. Ila kumbuka watani huwa mnatembelea kule kwetu na kututania pia tena mnatuita Manyuwa, Mara Manyumbu

Tunapozungumzia current team status, gape la point 27 kati yetu na ninyi linatupa entitlement ya kuwaponda.

Ila ni ajabu sana eti ninyi mnakuja kuicheka timu iliyokupita hivyo.

Fanya census uone ni Man Utd wangapi wanaoicheka LFC kwenye hii thread.

Uko alone, wenzio wanaona aibu kwa unachokifanya.
 
Kwamba Chelsea una timu bora?ngoja tuone labda kama Chelsea hatuijui, kwanza kesho kwa nyumbu ukichomoka nitashangaa
Mkuu mimi Nina uhakika kwa Leicester hutachomoka ...yani afungwe na Man city, apigwe na Chelsea afu aje apigwe na Arsenal tena

Kesho Manure anakufa sio chini ya goal tatu..

Kama alipigwa na nyie mimi ndo nitamuacha? Man city kajipigia apo, Barca naye ...kwa nini sisi Chelsea tushindwe.!
 
Unaongea kishujaa wakati unajijua kabisa una timu tiamajitiamaji,

Huyo lei mm na record naye nzuri tu, labda itokee tu, lkn siwez kufungwa 3times tena, hata man u sio mbovu kama unavyojiaminisha ila anazidiwa uwezo tu,

Kama huamini weka mzigo hapa kesho nyumbu anakupa kipondo,
 
Kesho Burnley ataenda kumvua mtu mzima nguo hadharani mbele ya wakwe.

Kesho Man city asipoenda kudrop point, nitaenda kujipiga life ban hapa JF.

Nipo tayar kupigwa mawe mpaka pumzi ya nwisho hiyo kesho endapo Burnely hatoenda kumsimamisha City.

Liverpool kesho ni siku yetu.
 
Ushabiki ni kazi sana, yaani naona ni kama tunasubiri dodo chini ya mchongoma.
 
Tunapozungumzia current team status, gape la point 27 kati yetu na ninyi linatupa entitlement ya kuwaponda.

Ila ni ajabu sana eti ninyi mnakuja kuicheka timu iliyokupita hivyo.

Fanya census uone ni Man Utd wangapi wanaoicheka LFC kwenye hii thread.

Uko alone, wenzio wanaona aibu kwa unachokifanya.
Furaha yangu Liverpool wasichukue ubingwa basi,hayo mengine mimi hayanihusu. Naamini msipochukua ubingwa hata wewe utaona aibu na kuumia sana pamoja na kutupita pointi 27 zenu
 
Kesho Burnley ataenda kumvua mtu mzima nguo hadharani mbele ya wakwe.

Kesho Man city asipoenda kudrop point, nitaenda kujipiga life ban hapa JF.

Nipo tayar kupigwa mawe mpaka pumzi ya nwisho hiyo kesho endapo Burnely hatoenda kumsimamisha City.

Liverpool kesho ni siku yetu.
in shaa Allah
 
Nakumbuka 16 stage ilipopangwa LIverpool na dortmund ni timu zilikua hazitakiwa na team za hispania zisikutane nazo.*The king of European Knight from England*,.

Wengi wanafikiri kumfunga Huddie ndio jeuri imeanzia hapo la hasha huu ujasiri toka alipotolewa Napoli.

Take your seat and watch the matches.

YNWA",

Klopp has changed our team respect respect respect to JK.
 
maana yangu kubwa pep ni mwl anayejifunza sana namna alivyo approach gemu za Liverpool tofauti na last year, hata wanaombeza kuhusu champions league, mwakani anaweza kuduwaza, nakubali uwezo wa Liverpool no daughter
CL tatizo sio pep naona ni city tu.In football game hatuamini ila ni kweli city kama wanakaghndu na CL even before pep come, walikua vzuri domestically ila kwa nje walikua wanastruggle.
 
Kila kocha ana his unique style of play dude.

Pep, is considered one of the best, siyo tu kwasababu ya trophies, but ni kocha wa kisasa aliyefanikiwa ku-master vizuri approach ya possessional football. na ndiyo maana mpaka sasa ambapo 80% of managers kwenye top flights wameachana nayo, but Pep bado anaitumia na anafanikiwa, especially kwenye leagues.

he won EPL last season kwa points 100 kwa kutumia huu mfumo, and he's about to do it again this season (GOD FORBID) kwa mfumo huo huo, kwenye most competitive league on planet earth.

it takes a highly intellegent and technical skilled coach to master possession footie, tena kwenye modern era ambayo una fast paced oriented world class coaches kama Klopp/Poch/Luis Enrique/Tuchel/Nagelsmann/Zidane etc

Sean Dyche ni kama Allaydice/Pulis etc, ni worshippers wa diagonal footie/zoning acceleration, mpira ambao unahitaji physical and powerful players kwenye MF and flanks (pace and dribbling is not necessary at all because players are instructed to defend and attack behind deeper zoning lines), kitu ambacho ni tofauti na kina Sane/Sterling/Mahrez/B.Silva/KDB/Gundogan/Ferna/Silva/Aguero etc,

its so easy to coach these City players, possession footie kwasababu ya ubora wao wa kukaa na mipira/dribbling/Distribution/Short passes/Opening rooms and spaces/line breaking passes etc,

kama Sean Dyche akienda City, atahitajika kuchange the whole squad ili ku-implement his style (maybe Kompanya/Walker wanaweza kubaki), but he wont need ball playing CBs/MFs etc kutokana na uhitaji wa style yake. and he will fail at City kwasababu in modern footie huwez kufanikiwa kwa kutumia zoning set ups, only limited coaches wanatumia hizi set ups, Club yeyote ambayo inahitaji makombe haiwezi kuwa na Coaches wa namna hii.

Fulham spent loads walivyopanda but now wameshuka after just One season, because coach wao alitaka kucheza possession footie huku akiwa hana wachezaji complete for that set up, Hughton is facing relegation battle kwasababu for whatever reasons msimu huu he switched up to possession footie and he's paying the price, same can be said to Wagner.

Coaches wa mid-table clubs ambao wanaweza fanikiwa kwa kiasi wakienda City, ni Nuno/Howe, i said Howe kwasababu ni kocha mzuri sana wa possession, leo hii hata ukiwaambia Pep/Klopp wachague kocha msaidizi wa kufundisha possession wataaza na Howe.

sean Dyche ni very limited Coach, leo hii FIFA wakisema kusiwe na set up za tactical zoning kwenye football, he'll be out of job.

and, ninavyosema kuwa Dyche anaweza kumfunga/ku-draw na Pep ni kwasababu he's a Liverpool fan, so huwa natumaini kuwa he'll tripple his zoning shape ili kutimua possession play ya Pep.

and, hili suala la kuwa Pep hajawahi kutengeneza players ni myth, kabla hajachukua kazi Barca, Frank had Messi/Gaucho/Deco etc and finished 18 points behind Madrid in the league, then Pep came in sold Gaucho/Deco etc, and went on to win the treble in his first season, Messi was so talented but Pep's coaching changed him forever (man management), Xavi/Iniesta became one of the best CMs under Pep Guardiola, then Pep went on to introduce talents like Busquets/Pedro and turned a Utd flop Pique into a world class defender, did the same thing to Alves and other players. kitu ambacho Klopp pia amefanya at Dortmund na pia anakifanya at LFC, we questioned the signing of Mane back then but Klopp has turned him into world class, turned Salah into a world star, turned Firmino into a world class false number 9, turned a relegation fodder FB into world class, the list goes on, what Klopp did to Gotze/Sahin/Lewa/Bender etc ndiyo alichokifanya Pep kwa Pique/Pedro/Jeffren/Alves/Busquets etc, what Klopp did to Mane and Cos ndiyo alichokifanya Pep kwa Sterling and Cos (improving their footballing abilities).

Klopp ni fan wa fast paced football and use of possession against deep block teams, so unaweza ukampa City na akashinda loads of trophies, because anaweza akawatumia Sane/Sterling/Mahrez/Bernado/Gundogan/Ferna and KDB kwenye fast paced counters and possession pia, and Pep ni big fan wa possession na pia unaweza ukampa LFC na akafanikiwa kwasababu atawatumia kina Matip/VVD/Keita/Fabinho/Firmino/Mane/Salah/TAA/Allison/Robertson katika ku-keep the ball and move it through the lines with ease, his main strength itakuwa ni Matip katika ku-break the lines from the back.

Give Pep/Klopp/Sarri that Burnley team na wataishia kuishusha daraja, not because they're bad coaches but kwasababu hakuna wachezaji ambao wanaendana na tactical needs zao.

Sarri is struggling at chelsea siyo kwasababu ni m-baya (FSG wanted him pia at LFC wakati yupo Empoli), bali ni anajaribu kui-implement his possession play kwenye kundi la wachezaji ambao hawa-fit his tactical needs, na kama Chelsea itamaliza top 4 yatakuwa ni mafanikio makubwa sana kwake.
bravo bravo.

Naongezea.
Ukihitaji kupossess na kupress high lazima uwe na wachezaji wenye vimo vya wastan kwa sababu hua na kawaida ya kuwa wepesi kunyumbulika kwa falsafa ya

TAFUTA PASI, PATA PASI, PASI..
 
Nina uhakika Leicester city ana gemu tatu ngumu dhid ya Chelsea, Man city na Arsenal ..hivyo ni kwamba Man city na Chelsea watamkalisha na iyo nyingine dhid ya arsenal atakaza..

Kama mnamtegemea yeye eti kwa sababu kocha wa zamani a Liverpool ndo yuko pale basi mumekwama tayari. Kwanza Rodgers mlimtimua tena bila yeye kupenda, hivyo lazima atalipa tu ...pili kama mlimuacha Man city kwa gepu la point saba halafu kocha wenu Klopp akafeli kung'ang'ania ilo gap leo mnatgemea Leicester amzuie Man city hahahahahichi ni kichekesho kingine. Uwezo wa kubeba ubingwa mlikuwa nao ila kwa uzembe wa Klopp mtangoja tena msimu ujao...

Man city sidhani kama atakubali kudrop point kwenye gemu zilizobaki..
Ma great thinkers wa miaka hii nawavulia kofia. Ngoja nikalipe ada ya mwanangu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom