matoA
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 116
- 137
dah mwanangu unenena vyema sana acha hawa jamaa wanao shabikia mpira kwa maneno ya kuambiwa
It's a thing to discuss niqqa. Unampa pole Liverpool ameshajikatia ticket ya UCL next season. Akikomaa anacheza fainali ya UCL back to back. Wakati wewe team yako hata haijui itamaliza nafasi ya ngapi this season? Are you serious?
Kabla hujaondoa kibanzi katika jicho la mwenzio angali kwanza boriti ndani ya jicho lako.