Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wangeweza ku-force Levy's hands na kumchukua Mauricio, but they decided to opt kwenye cheap option.

United board/owners played down the thought ya ukubwa wa Club, huwezi kumpa Kocha mwenye CV ndogo kama OGS kazi ya kuirudisha Utd mahali pake.

still like OGS as a person.
 
i remember when LFC decided to go for Hodge back in them days..

moja kati ya maamuzi ambayo yaliiumiza Club kwa kipindi cha muda mrefu sana.
 
It was too early
walikurupuka wakidhani Ole angewarejeshea the so-called "Man U way" (which never was, what they had was Fergie way).

in fact, pundit Jermaine Jenas amewashauri Manure waache kuishi kwenye kivuli cha Fergie. amewashauri wamwache coach wanayemu employ awe anapewa nafasi ya ku instill his "own way" akitolea mfano wa Pep & Klopp.
 
wangeweza ku-force Levy's hands na kumchukua Mauricio, but they decided to opt kwenye cheap option.

United board/owners played down the thought ya ukubwa wa Club, huwezi kumpa Kocha mwenye CV ndogo kama OGS kazi ya kuirudisha Utd mahali pake.

still like OGS as a person.
Cheap is always expensive, now let them go to Europa league where they deserve to be next season
 
wangeweza ku-force Levy's hands na kumchukua Mauricio, but they decided to opt kwenye cheap option.

United board/owners played down the thought ya ukubwa wa Club, huwezi kumpa Kocha mwenye CV ndogo kama OGS kazi ya kuirudisha Utd mahali pake.

still like OGS as a person.
Hii ya Ole kupewa contract ya kkudumu Unites niliifananisha na Upgrade version ya David Moyes
 
Moyes was a bad decision pia, but hii ya OGS ni mbaya zaidi.

atleast Moyes alikuwa na CV decent kidogo, alifanya vizuri sana at Everton (kwa level ya ubora wake), hakustahili kuwa kocha wa Utd but at the time he was a better coach than OGS.
 
Mkuu King Ngwaba ni vyema uwekeze muda wako kivingine bila kumfuatilia huyu mwanajogoo mwenzetu..bila shaka ukijiukiza wapo tulikwenda tofauti nae utaona ni pale kila mmoja wetu hutua yake ya moyoni kuhusu baadhi ya wachezaji na upangaji wa kikosi kwa Klopp..

kwa staili hio utaona tunatofautiana kimtazamo na kwa vile wengi tupo flexible ndio maana leo hii Hendo tupo nae baada ya kuboresha perfomance yake hivi karibuni na kua Hendo mpya...

Sio siri Liverpool akishinda mechi zake zote na Citi akashinda mechi zake zote sisi Majogoo ubingwa tutaukosa kwa pointi mbili...kwa hapo lazima kwanza tushinde mechi zetu na hapo hapo Citi tukimwombea apoteze angalau mchezo mmoja na tumpiku...

ni ngumu sana wote tukumbaliane kimtazamo lakini haina maana tutofautiane kwa maneno yasiyoleta tija, WE WILL DIFFER AT TYMS BUT LETS ARGUE WITH FACTS.....

LIVERPOOL TUNAIPENDA SOTE NA TUNAITAKIA MEMA
 
Ubingwa kama kila mmoja akishinda mechi zake tutapishana point moja tu mkuu
 
Dybala kwa Salah?

Think Dybala is Flop
gossip was Salah+ £40m from Juve n we get Dybala...

Ishu ya Dybla ni kwamba hata kocha wake namba ya kumchezesha hua pasua kichwa...

Kingine th boy get lost in most games...more so kama Sane wa Manciti at tyms he just lose t..

i would rather remain wt Salah than have this Dybala
 
Kama tutapata pointi 97 na City akipata 98 binafsi sitakuwa na shida. Tutajipanga kwa mwakani. At least hatutakiwi kupoteza pointi hata moja sasa hivi
Kabisa mkuu tangu Klopp aje tunaelekea mahala sahihi....ni kujipanga tena whateva th outcome na kuedelea kupambana...
 
gossip was Salah+ £40m from Juve n we get Dybala...

Ishu ya Dybla ni kwamba hata kocha wake namba ya kumchezesha hua pasua kichwa...

Kingine th boy get lost in most games...more so kama Sane wa Manciti at tyms he just lose t..

i would rather remain wt Salah than have this Dybala

He’s too slow!
Abaki huko huko kwa wazee Turin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom