Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeshaona hapa kwa Nicolas Pepe anataka kupigwa Mtu hela Ndefu.

Ingawa siwaamini sana Waafrika linapokuja suala la Consistency lakini huyu PEPE yupo vizuri.

Muhimu ni kujua tu ni Jinsi gani ata-adapt na EPL iwapo tutamsajili.
huyu Pepe mwaka 2017 Januari Liverpool alikua wapeleke ofa ya £10m sijui nini kilikwamisha...leo hii ndogo anauzwo £70m
 
Apparently, Liverpool are lining up mkuu, huyu dogo ni noma, atakuwa cover ya akina Sturridge na Origi wakiondoka! Ila ndio hivyo tena akishatua Anfield tu ma mbwa ya Spain yatamtolea udenda sana! Lolss!
if th Spain dudes can bring loads of cash kama Coutino basi haina noma after all profit on players is needed...
 
IMG_5136.JPG
 
Teams are in.

MF 3 of Gini/Hendo/Keita

Gini as a 6, Keita as a 2nd holder and Hendo as b2b (8 role).
Gini oflate miguu ilichoka bt his last sub alikua superb...hope Keita continue gaining momentum as we need him finishin this season high...

Warnock has set his team to frustrate us bt patience wil win us this game...
 
Kamati ya roho mbaya tumeamua kukaa kikao na kukubaliana kuwa Tunampa ubingwa Man city
 
prefered Faby in a 6, but naona Klopp kaamua kumpumzisha kidogo..

Gini played very well kwenye hio role mwanzo wa msimu, so i hope he will do a good job there (his form is a worry though).
Mkuu maybe Klopp atuconvince kwamba anaogopa tu majeraha kwa his best Holding Midfielder right now., unless otherwise kwasababu Fabinho missed almost the entire first half of the season.. We just have to keep pushing angemuacha tu acheze

I'm still hoping for the best.. Brendan Rodgers na Ole will do us good in the next two weeks!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom