Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Hatustahili kushinda hili kombe, labda tu Mungu atupe huruma.
Tulikuwa na chances nyingi sana, 2019 ilivyoanza tumeharibu kila kitu kwa kung'ang'ania Hendo/Gini/Milner.
Tulipata injuries December za TAA, Gomez, Lovren nk, tukamwachia namba 2 kwa kuamini Milner atakava mpaka wagonjwa warudi.
Westham, Leicester, Man Utd, Everton: hizi ni droo ambazo tunaweza kuzikumbuka sana.
Inaumiza sana
Cha ajabu mashabiki wenzetu wa kiingereza kutwa hawaishi kuwalinda hao deadwood players ambao ni wazawa wenzao