Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeshaona hapa kwa Nicolas Pepe anataka kupigwa Mtu hela Ndefu.

Ingawa siwaamini sana Waafrika linapokuja suala la Consistency lakini huyu PEPE yupo vizuri.

Muhimu ni kujua tu ni Jinsi gani ata-adapt na EPL iwapo tutamsajili.
 
Sure ila si mbaya tukijaribu labda ma seniors waliomtangulia wanaweza kumfanya aka adapt faster mazingira
 
Ha ha ha ha ha brother calm down just relax and take it easy tu, hivi wajua tunaweza sema hata wao wanabebwa na bahati?Tazama jana goli linafungwa na Kinda FODEN, mtu asiyetegemewa kua atafunga, tena dk5 ya tano na linadumu mpaka game kuisha. Na zaidi Walker ananawa ktk boksi walivyo na bahati muamuzi haoni na Spurs wnanyimwa tuta.
Bredren!! am so dissapointed for sure
Can you imagine katika kipindi hiki chote tokea Klopp kaja tumefika finals mbalimbali almost kila mwaka and no silverware..
Hii energy haitaendelea kuwepo always. kuna wachezaj wako kwenye peak yao this year pengine next season in shaa allah they wont be this way... We have to get a silverware kwakwel

Niliku dissapointed sana na ile slip ya Gerard 2014(My fav lfc man)
We have to get a silverware kabla ya kuletewa another english coach aje ajaze kina sturridge,jay spearing, robbie keane, konchesky na kina lallana wengine
 
Yeah I can feel it bro!..inauma sana sisi kujikuta tumejiweka katika mazingira haya na itauma sana endapo epl tutafika points 95+ alafu epl iyeyuke na at the same time CL nayo ipotee. Mi bado naamini tukomae tu na game zetu zilizobaki bhasssi
 
Bredren!! am so dissapointed for sure
Can you imagine katika kipindi hiki chote tokea Klopp kaja tumefika finals mbalimbali almost kila mwaka and no silverware..
Hii energy haitaendelea kuwepo always. kuna wachezaj wako kwenye peak yao this year pengine next season in shaa allah they wont be this way... We have to get a silverware kwakwel
Niliku dissapointed sana na ile slip ya Gerard 2014(My fav lfc man) We have to get a silverware kabla ya kuletewa another english coach aje ajaze kina sturridge,jay spearing, robbie keane, konchesky na kina lallana wengine

Kuna Wachezaji ambao wapo around 26 - 27 years Kama MANE, BOBBY, SALAH, VVD na FABINHO ndiyo wapo katika Peak yao na wala Tusitegemee kuwa Wataboreka zaidi ya hapo walipo! Sasa ikiwa tutaendelea kuchezacheza kama hivi kwa kutegemea Next season basi tutaishia kurudi tulipotoka.

Tumeichezea Bahati ya December wacha itutafune May.
 
Hebu nisaideni Wakuu kina Don njinji, Captain Marvelous and Don Clericuzio ivi kuna Uzi mwengine wa Liverpool usiokuwa huu ambao huyu Malafyale ndiyo anaosoma post zetu?

Coz kwenye Uzi huu Sote tumegauka Wapiga Ramli kuombea Man City apoteze tubebe ubingwa! Lakini Malafyale ukiangaalia post Zake zote anatusoma kuwa Tunaiombea Liverpool isibebe ubingwa, Tunaipigia ramli Liverpool kuwa haitobeba ubingwa..
Je huwa hayasomi haya munayoyaandika?
Au anasubiri Liverpool ibebe ubingwa ashambulie wengine kuwa Waliiombea mabaya Liverpool..
Ni yeye pekee ndiye aliyeiyombea mema Liverpool?
Napata wasiwasi na Akili za huyu Mtu.

Makuzi bro, Mungu anisamehe, jamaa atakuwa amekulia katika malezi ya kuona ananyanyaswa, hapendwi.

Na probably bado anaishi mazingira ambavyo ni ya kibaguzi.

Ndiyo maana anaona njia pekee ya kujipa amani ni kuwabagua wenzake.

Natamani sana kujua wafuasi wenzake HALISI ni kina nani ila hawajitaji.
 
Msamehe tu bro!Mkishaanza kupeana vijembe wenyewe kwa wenyewe humu, wachawi wa Manyau na Chelshit watakuja na kufurahi jinsi mnavyovurugana wenyewe kwa wenyewe
 
good luck to you Manure if you are reading this....i love you all too much oh!!

go, Ole, go and smash all before you until May 12!!
 
Makuzi bro, Mungu anisamehe, jamaa atakuwa amekulia katika malezi ya kuona ananyanyaswa, hapendwi.
Na probably bado anaishi mazingira ambavyo ni ya kibaguzi.
Ndiyo maana anaona njia pekee ya kujipa amani ni kuwabagua wenzake.
Natamani sana kujua wafuasi wenzake HALISI ni kina nani ila hawajitaji.

Mwanzoni mwa Msimu walijitokeza baadhi ya Watu na Wao kujiita Liverpool Halisi, Lakini baada ya wao kuoba kuwa Jamaa hayupo sawa nadhani wameamua Kumkimbia au Kumuunga mkono kimya kimya bila ya kujitokeza hadharani.

Sasa yeye jamaa baada ya kujiona yupo peke Yake katika ujinga wake, kaamua kujitengenezea Inexistence Group ambalo analiita "SISI LIVERPOOL HALISI".

Lakini ukimuiza hao Liverpool wenzio ndiyo kina nani? Huishia kukosa jibu.
 
good luck to you Manure if you are reading this....i love you all too much oh!!

go, Ole, go and smash all before you until May 12!!
Yanayomkuta huko manure Ni shiidaa kaishabondwa mbili ha ha ha ha ha
 
actually, Manchester United Sacked one of the best Managers in the last decade, for OGS.
 
kumbe walikuwa sahihi wale pundits waliosema Ole kupewa permanent contract na Manure ilikuwa ni "a clueless boardroom blinded by a false dawn".

Ole's initial 10-match winning streak may indeed have been one hell of a false dawn.

against this team, ManCity are going to have a goal galore at OT on Wednesday night.
 
It was too early
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom