Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Bobby what?
Arsenal kashachezea huko cc bado tunatalantala
Teams are in.
MF 3 of Gini/Hendo/Keita
Gini as a 6, Keita as a 2nd holder and Hendo as b2b (8 role).
Kwa hiyo na sisi tuchezee?
Very funny aisee, sasa mimi na wewe nani aliyeanza leta mambo ya Historia hapa. Wewe si ndio umeanza kusema Chelsea ndo team pekee ya kuisumbua Barca, Je iyo sio historia?ama nyinyi Chelsea mmesumbua uyo Barca leo hii?Na kama utaki Historia kwanini usingeanza kusema kua hata LFC ya sasa kwa ubora wake inaweza kumuondoa Barca na badala yake umesema Barca itaiondoa LFC, je hapa umetumia kigezo kipi labda
Aiseee