Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,910
- 11,315
Kaka kwa sasa Man City wanabebwa na uimara wa kipa EdersonWachezaji wa manchester watakatwa 15% ya mishahara iwapo hawatafuzu UCL ,
Hii inaweza kusaidia wakakaza mech ya man city , na mkabeba EPL,
Na huwezi ukawa imara kila mechi
Hata Allson na De Gea kuna siku wanakuwa na mechi mbovu
Liverpool anachukua EPL
Wekea nyota hii msg achana na 'watabiri feki"