Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....
Kama Spurs wangekuwa kama juzi tungeongea mambo mengine as of now.
 
Why not him now....
Nina hakika moja ya vilabu vikubwa vitamuwania na kumchukua. Kama tayari ana gemu experience ya kutosha (mpk UEFA) nadhani ni bora kuliko wale madogo wetu tunaowatafutia timu za mkopo.
Zyech is good..

but should not be number 1 target, especially kama tunawafuatilia kwa ukaribu kina Brandt na Nicolas Pepe.

Yes, ana experience nzuri ukilinganisha na hawa kina Brandt/Pepe, but aina ya uchezaji wake inaweza kumchukua muda kidogo ku-adopt matakwa ya Klopp, hence nadhani kina Brandt na Pepe ambao wapo so direct wanaweza waka-develop vizuri sana under Klopp.
 
I really hope we go there and just blow everything out... tukiweka Naby, Faby and Hendo... nina uhakika watakua pressed kwasababu that trio boosts robertson and Trent kupanda na kushuka...

And when trent goes up, faby can drop to fill the hole and hendo drops to cover for faby

napata taabu sana kuona Barca wanatufungia wapi
Barça can Kill us kwa kutumia wing-progression.

i'd like kuona Klopp anaenda Camp Nou na hiyo MF (Faby/Naby/Jordan), but honestly sioni kama atakuwa tayari ku-risk it all, alienda na Brexit MF away at Bayern kwenye game ambayo tulikuwa tunahitaji sana ushindi, so kwa game ya Barça ambayo draw itatosha sidhan kama ata-set MF ya kushambulia zaidi.
 
LFC may well loose to any team...mpira ndio uko hivyo. I don't have to be biased
Yes mkuu unajua chance ya city kulose inaweza kutokea tena kwa 85%lkn swal je na sisi tukifanya ujinga tena tukadraw au tukalose ([watu tumelisahau hili kabisa kuwa hat sisi mwimba unaweza kutuchoma])
 
Mkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....
Mkuu hilo swal la game ya city na man u siwez licancel kwa sababu kuna vitu vinanipa ujasiri katika hili
1.Endapo man u wangekuwa wamejihakikishia top4 basi naamini wangempa point man city

2.Ole anahitaji Heshima kwan ndo kwanza wamoto kapewa mkataba juzi tu hivyo ni lazima alinde heshima yake

3.kutokucheza Uefa Kwa man u wanajua kabisa watawapoteza baadhi ya wachezaji na pia kuna baadhi ya sajili watakazo taka kufanya zitashindikana kwan most of world class player wanatakaga UEFA na si FUTUHI
hivyo bas man u hana sababu ya kulegeza kama tunavyo dhani

: man u , leicester ,banley, Aaaaah hata draw moja isitokee, bado naamin kunakitu wakuu sijakata tamaa bado, siku akimalizana na brighton ndo ntaconclude
 
Msiwape tabu Man U kumzuia City, wale ni majirani watamalizana wenyewe. Nyie pambaneni na matatizo yenu, leo Cardiff anawanyonyoa bila maji ya moto. Tukutane saa 19...
 
Mkuu hilo swal la game ya city na man u siwez licancel kwa sababu kuna vitu vinanipa ujasiri katika hili
1.Endapo man u wangekuwa wamejihakikishia top4 basi naamini wangempa point man city

2.Ole anahitaji Heshima kwan ndo kwanza wamoto kapewa mkataba juzi tu hivyo ni lazima alinde heshima yake

3.kutokucheza Uefa Kwa man u wanajua kabisa watawapoteza baadhi ya wachezaji na pia kuna baadhi ya sajili watakazo taka kufanya zitashindikana kwan most of world class player wanatakaga UEFA na si FUTUHI
hivyo bas man u hana sababu ya kulegeza kama tunavyo dhani

: man u , leicester ,banley, Aaaaah hata draw moja isitokee, bado naamin kunakitu wakuu sijakata tamaa bado, siku akimalizana na brighton ndo ntaconclude
Kweli chief,kimsingi sijakata tamaa bado an naomba zaidi na sisi tusipoteze mechi yyt mpaka mwisho...ila siku atakayo mpita Leicester ya Brendan Rogers daah ntaumia...Jana nimewaangalia Sana Leicester vs westham aisee wana weza kutotoa kimasomaso...
 
MatchDay.

COYR.
YNWA.
IMG_20190421_091044_095.jpeg
 
Kweli chief,kimsingi sijakata tamaa bado an naomba zaidi na sisi tusipoteze mechi yyt mpaka mwisho...ila siku atakayo mpita Leicester ya Brendan Rogers daah ntaumia...Jana nimewaangalia Sana Leicester vs westham aisee wana weza kutotoa kimasomaso...
Acha utani mkuu,hawa Leicester walioponea chupuchupu kwa West ham ndio wakawatoe kimasomaso? Nyie shindeni mechi zenu tu.
 
Suti yangu ya kusherehekea ubingwa wa EPL imeisha fika!
Wekeeni nyota hili bandiko
EPL tumeisha lichukua!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom