madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Barcelona tuna wafunga nje - ndanil
Sorry kwenye ligi 11
Najua kiasi gani upo dissapointed ila amini nakwambia city atadrop points kwenye either game...kazi ipo kwetu kushinda mechi zote
mpira uwanjani sio historia mkuu
Me tooLiverpool bingwa EPL 2018- 2019 nitaamini hivi hivi mpaka mechi ya mwisho ya ligi
Liverpool bingwa EPL 2018- 2019 nitaamini hivi hivi mpaka mechi ya mwisho ya ligi
Huoni historia mbovu ya Man City UEFA inavyomtafuna?
Umeongea kama mwana michezo. Tusubiri jumatano tarehe 1/5/2019.Hamn mzee baba tusubiri usiku wa uefa!!! Huo ndo utaamua Kila kitu kwa sababu Kila mmoja ana kiu na uefa
Pamojaaaa kiongoziUmeongea kama mwana michezo. Tusubiri jumatano tarehe 1/5/2019.
ole sendeka sio fala apeleke samaki kwa jirani wanae awalishe dagaa, man u anahitaji top 4 kuliko city anavohitaji tittle itakuwa ajabu la mwaka man u adrop point kwake ili jirani abebe ndoo halafu yeye aende futuhi.
Let them loose to City at their own peril...Uzuri EPL ilivyo City may loose to Leicester, Burnley or Brighton and Hove Albion...The way Mancunians hate Scousers they are ready for sacrifice Top Four to hand EPL to City and ended to play Europa League than to surrender EPL to Scousers.
Yeah...Let them loose to City at their own peril...Uzuri EPL ilivyo City may loose to Leicester, Burnley or Brighton and Hove Albion...
The way Mancunians hate Scousers they are ready for sacrifice Top Four to hand EPL to City and ended to play Europa League than to surrender EPL to Scousers.
Fact mkuuHayo ni mawazo ya mashabiki lakini halipo kwenye uhalsia. Man U hawez kujitoa sadaka kurud futuh labda itokee afungwe kwa kuzidiwa uwezo.
Unadhan mtu kama pogba au degea anaweza kuwaza hivyo? Ole katika mechi7 tayar kapoteza mechi 5 unadhan naye atakubal kuendelea kuharibu cv?
Sisi mashabiki tunaruhusiwa kuwaza hivyo ila kwenye uhalsia hakuna kitu kama hicho.
LFC may well loose to any team...mpira ndio uko hivyo. I don't have to be biasedYeah...
City may lose to those teams..!
What about Liverpool..!?
Biased analysis..!!!
Iyo Barca ya zamani tumeitoa zaid ya Mbili mkuu ..msimu wa 2000/01, 2004/05, 2010/11 ..ivyo usiishi kwa historia mkuu ..wewe kwa Barca huchomoki..View attachment 1076675
Tatizo lenu kubwa mashabiki wa City na Chelsea wengi wenu mmeanza kushabikia mpira mwaka juzi....Nakufahamisha kua mara ya mwsho LFC kukutana na Barca UCL tulimtoa, tulianza kwa kumgonga 2 pale Now Camp....alafu hapa nazungumzia Barca yenye
Messi
Ronaldinho
Xavi
Puyol
Deco
Marquez
sio hii Barca unayoijua wewe ya kina
Samedo
Alba
Coutinho
Dembele nk
hahahahaha imeandikwa "mpende jirani yako kama nafsi yako" hahaha
Na City akija OT tunamfungia point tatu zake tunamsindikiza kwake. Ndio ujirani mwema huo.
Mkuu nilisema sichangii lkn wallah umenifanya nitoe la moyoni....umeongea kiunamichexo Sana maana man untd sio timu ya mwisho kupambana na man Cty,mtu alieangalia game aliona jinsi jamaa wanavyopanic now....Let them loose to City at their own peril...Uzuri EPL ilivyo City may loose to Leicester, Burnley or Brighton and Hove Albion...