lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
Ili mradi Kuna mechi nne mbele sikati tamaaa,Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea na nyie mnaojidai kutuletea shobo humu mtatulia...
Unalia nini sasa?
Ili mradi Kuna mechi nne mbele sikati tamaaa,Kuna siku isiyo na jina litatokea la kutokea na nyie mnaojidai kutuletea shobo humu mtatulia...
kila mtu ashinde mechi zake tumuone bingwaKwa hali tuliyonayo, we will keep on jumping ships. Leo Tottenham akishindwa tutahamia Man Utd, naye akishindwa tutahamia kwa next opponent.
Mpaka apatikane wa kutusevu.

Najua kiasi gani upo dissapointed ila amini nakwambia city atadrop points kwenye either game...kazi ipo kwetu kushinda mechi zoteI don't see any team to stop Man City from winning this title.
My last Card was TOT
Now TOT had failed, I don't think Manure will be able even to score a consolation goal instead the game will end up by Man City win with clean sheet
Chelsea itabaki kuwa timu pekee England na pengine Europe nzima kwa kuisumbua Barca Uefa, wengine mnaenda kujaribu tu..
Kwenye ligi 17Viongozi hebu nisaidieni hii ni game ya ngapi Man City anashinda mfululizo?
Sorry kwenye ligi 11Kwenye ligi 17
Hawana kumbukumbu. Hawa Barcelona wametolewa ba LFC mara 3 katika historia. This time tena ndio sio wazuri kabisa. Wanaangalia matokeo ya United hawaView attachment 1076675
Tatizo lenu kubwa mashabiki wa City na Chelsea wengi wenu mmeanza kushabikia mpira mwaka juzi....Nakufahamisha kua mara ya mwsho LFC kukutana na Barca UCL tulimtoa, tulianza kwa kumgonga 2 pale Now Camp....alafu hapa nazungumzia Barca yenye
Messi
Ronaldinho
Xavi
Puyol
Deco
Marquez
sio hii Barca unayoijua wewe ya kina
Samedo
Alba
Coutinho
Dembele nk
Najua kiasi gani upo dissapointed ila amini nakwambia city atadrop points kwenye either game...kazi ipo kwetu kushinda mechi zote
Mkuuu hebu save data,nguvu za vidole kutyp na charge ya Simu yako Kuna watu hawajui lolote wanaropoka tu...View attachment 1076675
Tatizo lenu kubwa mashabiki wa City na Chelsea wengi wenu mmeanza kushabikia mpira mwaka juzi....Nakufahamisha kua mara ya mwsho LFC kukutana na Barca UCL tulimtoa, tulianza kwa kumgonga 2 pale Now Camp....alafu hapa nazungumzia Barca yenye
Messi
Ronaldinho
Xavi
Puyol
Deco
Marquez
sio hii Barca unayoijua wewe ya kina
Samedo
Alba
Coutinho
Dembele nk
Binafsi siku man city akimbonda Leicester.....Ni siku ambayo I WILL THROW THE TOWEL...
Binafsi siku man city akimbonda Leicester.....Ni siku ambayo I WILL THROW THE TOWEL...
Binafsi siku man city akimbonda Leicester.....Ni siku ambayo I WILL THROW THE TOWEL...
Viongozi hebu nisaidieni hii ni game ya ngapi Man City anashinda mfululizo?
[/QUOT
Binafsi naamini man CTY ubingwa ataukosa game ya mwisho dhidi ya brightonBinafsi siku man city akimbonda Leicester.....Ni siku ambayo I WILL THROW THE TOWEL...
Hawana kumbukumbu. Hawa Barcelona wametolewa ba LFC mara 3 katika historia. This time tena ndio sio wazuri kabisa. Wanaangalia matokeo ya United hawa

mpira uwanjani sio historia mkuu