Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Unawezaje kuishi bila ya kuwa na matumaini mkuu!!!?lazima tujipe matumaini Kama ambavyo yeye anajipa matumaini ya kuchukua kwa kuwafunga man u toht Leicester Brighton na Nan sijui...so matumaini ndio msingi wa kila kitu.Tunaomba apoteze, lakini tusijipe matumaini ya kwamba ni lazima apoteze.
We had a chance to take control of our fate, we brew it up.
Unawezaje kuishi bila ya kuwa na matumaini mkuu!!!?lazima tujipe matumaini Kama ambavyo yeye anajipa matumaini ya kuchukua kwa kuwafunga man u toht Leicester Brighton na Nan sijui...so matumaini ndio msingi wa kila kitu.
Na mm Sina haja ya kuendelea kulumbana ila Ni huyo city alionekana ana nafasi kubwa % za kuingia nusu fainali dhidi ya tothnm..#MPIRADAKIKA90#On paper, City ana % kubwa ya kuwa bingwa.
Take it or leave it. Not ready to get into this argument.
Na mm Sina haja ya kuendelea kulumbana ila Ni huyo city alionekana ana nafasi kubwa % za kuingia nusu fainali dhidi ya tothnm..#MPIRADAKIKA90#
Messi hawezi zuiwa na uyo shoga mwenye upara
Kama tulivyoamini jana Spurs atamchomoa City na kweli ikatokea na Jmosi sisi tunao amini Imani tunaamini Spurs atawashangaza tena watuNa mm Sina haja ya kuendelea kulumbana ila Ni huyo city alionekana ana nafasi kubwa % za kuingia nusu fainali dhidi ya tothnm..#MPIRADAKIKA90#
Y'all remember this?View attachment 1074823
Liverpool anatolewa na FC Porto. Hili hamna mtu ataamini.
Nitaifufua hii post siku ikifika.
AC Milan mkuu ongezea hapo
Porto hatakubali kirahisi atowele mara mbili na timu ile ile ..wale underdogs watakaza mwanzo mwisho ..naiona liverpool yenye wachezaji bora ikitolewa robo fainali..
Sent using Jamii Forums mobile app
If liverpool were the last team how come barca to retain original version?
I think is typing error dude but the next game is against Cardiff
Umemsaidia kuifufua alikuwa amejisahaulishaNimekusaidia kuiibua.
If liverpool were the last team how come barca to retain original version?
Messi kafanya kweli bana. Sioni beki yeyote Liverpool ya kumzuia kabisa...Angalau Ban yako ishaisha
Messi kafanya kweli bana. Sioni beki yeyote Liverpool ya kumzuia kabisa...
Mimi Nitabeba Europa, kitendo cha kung'ang'ania makombe mawili mtajikuta mnapoteza yote..Umeshaanza ramli tena!
Kapambane na futuhi leo usiku