Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabla ya mechi ya Westham OLe alisema, " tunahitaji point 15 katika michezo 6" means mchezo wa City hatuuhesabu.

Kama kuna mtu anabet siku hiyo mpe Man City mwanzo mwisho. Kwanza tutapumzusha wachezaji kwa ajili ya chelsea, maana tusipomfunga Chelsea ni kazi bure hata kama tukishinda mechi ya man city.


Sent using simu mbovu
Dalili zipo wazi Futuhi inawahusu msimu ujao...
 
mara Pap Spurs akampige tena Jmosi...usije shangaa Citi huyu akapigwe na Mbwa Mwitu au katoka draw na nyinyi...

kuhusu Barca tutapambana kadri tuwezavyo kuwazima na sis tusonge fainali
Spurs kamtoa city hajampiga mnakosea hapo na spurs nzuri ila awezi kushinda etiad hata nyinyi wakali paliwashinda, atapigwa tena hakuna ndoto
 
mashabiki wa Barça wanafurahi wamewachukulia poa baada ya juve na City kutoka wanasema uefa imejileta yenyewe
 
Aiseee ndiyo nimepata matokeo hapa kwenye GOAL.COM Man City 4-3 Tottenham, so Man City ametoka kwa goli la ugenini.
ndio maana hata mimi nimemuuliza yani yeye badala ya kusema ujinga ni wa city kuruhusu goli la llorente yeye anasema ujinga ni wa tot kuruhusu goli la 5 wakati score board inasoma ft man city 4 spurs 3

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa upo nyuma sana

Sent using simu mbovu
Chifu lile goli la offside lilivyofungwa tu na Pep kuruka ruka uwanjani kushangilia niliamua kujiinukia na kurudi zangu home maana lilinikatisha tamaa na kunikosesha furaha sana, ss hapa nachati chati na Watu nashangaa nikiulizwa kuwa ni timu ipi imepita ndipo nikaangalia mtandaoni na kukuta Tottenham kaenda nusu fainali baada ya goli kukataliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucheza fainali uefa au kuchukua kabisa.

Uefa ndio ligi ya mabingwa ,mabingwa wote wapo hapo .

Unaweza ukachukua ligi ya ujerumani ukaonekana bora ukija uefa unaonekana underdog,ukichukua ligi ya italia ukija uefa unachezea za mbavu.

Uefa ukichukua ndio kipimo au hata ucheze fainali tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umemjibu kiufundi Sana mkuu...nakupa gwala

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom