Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

asante sana klopp pamoja na squad yako yote kwa kutufikisha semi final uefa champion league ila tunakuomba uje na philosophy sahihi ya kumtoa barca ili uidhihirishie dunia kuwa epl ndio ligi ngumu kuliko zote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
EPL nyepesi sana sema City anaujua mpira na pia anajua kupanga matokeo nnje ya uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wote wakimpiga Citi EPL tutashukuru, huku sisi tukishinda mechi zetu zilizobaki.
Man u hatuna mpango wa kumfunga City, hana madhara (quadruple effect) kwa sasa.
Tunamfungaje wakati ndio anazuia nyinyi msichukue epl?

Ila nitawasupport kwenye UEFA ,ili dharau kwa EPL isiwepo.

Sent using simu mbovu
 
ManCity elimination from the UCL race before they play Manure is NO good news at all to us as far as our EPL prospects are concerned.

why? because.....

parallel to a top 4 slot, Manure's next biggest motivation to beat ManCity in their forthcoming EPL showdown would be to stifle a quadruple bid for their "noisy neighbours".
 
mambo mengi ila muda mchache .......hongereni kwa hatua mliyofikia mimi nataka kombe lije england sasa kwa kutolewa kwa city kwakweli naona waziwazi nyinyi ndio mna uwezo wa kulibeba hawa spurs hawaaminiki kabisa .....tupo pamoja...TUKUTANE KULE SUPERCUP nikuzabue hahahahahh heheheheheheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unamtukana mamba kabla hujavuka mto eeh! Subiri kudhani una uwezo mkuuuuuubwa!!
 
Man u hatuna mpango wa kumfunga City, hana madhara (quadruple effect) kwa sasa.
Tunamfungaje wakati ndio anazuia nyinyi msichukue epl?

Ila nitawasupport kwenye UEFA ,ili dharau kwa EPL isiwepo.

Sent using simu mbovu
mara Pap Spurs akampige tena Jmosi...usije shangaa Citi huyu akapigwe na Mbwa Mwitu au katoka draw na nyinyi...

kuhusu Barca tutapambana kadri tuwezavyo kuwazima na sis tusonge fainali
 
Kwa jinsi man u asivotupenda anaweza kutegeza akapigwa nyingi na city

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya mechi ya Westham OLe alisema, " tunahitaji point 15 katika michezo 6" means mchezo wa City hatuuhesabu.

Kama kuna mtu anabet siku hiyo mpe Man City mwanzo mwisho. Kwanza tutapumzusha wachezaji kwa ajili ya chelsea, maana tusipomfunga Chelsea ni kazi bure hata kama tukishinda mechi ya man city.

Sent using simu mbovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom