Sasa Tot ndy mnamtegemea au man utd ndy mnamuegemea mnyanyue kwapa?
Tot atafungwa tena hakuna namna City wamebaki na trophy 2 za kubebaTottenham yes, ila Man U sidhani.
hilo la suti hilo tuwe na subra muda wenyewe utasema
Sent using Jamii Forums mobile app
On to Barça now..Thats the nicest draw possible.
We can play Hendo/Lovren/Lallana/Moreno/Migs etc and win with ease.
Dont try to put pressure on yourself. Will be nothing but a statpad session.
A very nice draw.
We couldnt ask for more. Be happy.
hawa Barca sisi ndio ya mwisho kutoka uingereza kumchalaza Home kwake Nou Camp...Liva chonde chonde muombe mkipita kwa Porto msiyakanyage ya Barcelona
Historia haichezi Mpira shauli yenu.
na jumamosi wanamchapa tena maana kashalewa huyu...VAR idumu jamaaaKwa hali ilivyo kule Etihad basi Man city kashatolewa
Tot atafungwa tena hakuna namna City wamebaki na trophy 2 za kubeba
Mkuu united wanajielewaga mda mwingne...utaonaTottenham yes, ila Man U sidhani.
wote wakimpiga Citi EPL tutashukuru, huku sisi tukishinda mechi zetu zilizobaki.Sasa Tot ndy mnamtegemea au man utd ndy mnamuegemea mnyanyue kwapa?
time alone will tellNdugu kazaneni na uefa, City katoka ila hao kina spurs atawabonda bonda ,hakika mnatoka trophyless mkizubaa
Hahahahah liver kadondokea mikononi mwa barca, ni mwendo ule ule kama alio fanyiwa jirani yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
alijipiga ramli mwenyewe kudai hakuajiliwa Citi kwa ajili ya kuchukua Champions League sasa ujumbe ameupata hakuna cha Ethad wala nini tukutane tena msimu ujao UCL...Pep aje club kama Liver ndio atatwaa UCL huko kwingine anabet tu. UCL ina watu wao bwana.
muda utasema hawa dawa yao tunayo watatafutana na mabeki wao wa kuungaunga..Hahahahah liver kadondokea mikononi mwa barca, ni mwendo ule ule kama alio fanyiwa jirani yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
wote wakimpiga Citi EPL tutashukuru, huku sisi tukishinda mechi zetu zilizobaki.