manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,058
swadakta mkuu hata hazard mwenyewe kabla ya hii mechi alisema liverpool wako moto kwa sasa usiwaguse utaumiaYani hata tupewe Barca huko UEFA lazima afe! This is liverpool.
swadakta mkuu hata hazard mwenyewe kabla ya hii mechi alisema liverpool wako moto kwa sasa usiwaguse utaumiaYani hata tupewe Barca huko UEFA lazima afe! This is liverpool.
ni kweli EPL N UCL is possible na nadhani tukomae zaid na EPL kwenye UCL mi nadhan tushachukuaGreat day, we beat Chelsea to go two point clear of Manciti...great day guys..
in the mean tym..
TIGER WOODS WINS THE MASTERS
Tiger Woods is a major winner once again – for the 15th time and his first since 2008. He also ends a 14-year wait for a fifth Green Jacket.
This dude is a fighter, he ddnt give up even wen th whole world thought he ws history he kept competing n today he won...
Hard work pays, i see our boys getting two medals this season for EPL N UCL...We dare dream.
ni kweli hakuna Meneja ana hamu na Liverpool UCl ni shindaaa, kwa namna alivyobadilika Klopp na kusikia kilio na maombi yetu upangaji wa kikosi naamini hatupotezi gemu mpaka mwisho wa msimu...ni kweli EPL N UCL is possible na nadhani tukomae zaid na EPL kwenye UCL mi nadhan tushachukua
na zaid baada ya kile kipigo tulichotoa ugenini kule allianz arena kila mtu anatuhofia
kila tukipigiwa Ramli sisi haoooo tunasonga mbele na ushindi tu na si kingine...Leo nimejikuta nimevunja mwiko wa kutokunywa tena bia...
Nimeshuhudia maajabu ya soka leo...
1. Soka kabambe likicharazwa na vijana wetu
2. Washangiliaji mahiri wa Liverpool wakishangilia muda wote
3. Waomba dua waliotukuka... Leo Liverpool imeombewa dua na team zote isipokuwa Man City!... Cha ajabu dua limeongozwa na vigogo wa ligi Man U, Arsenal na Tottenham
Eee Mungu endelea kutupa Baraka...
Goli la Salah limenipatia mke bila mahari...
Nawasalimu ndugu zangu... YNWA.
Cardiff na Huddersfield inatakiwa wapigwe 8-0 kwa pamoja. YWNALiverpool tumesharudi na ujumbe mpaka sasa umetua vyema, timu kuja Anfield kushinda wasahau gemu ya leo imekata mzizi eti Chelsi ndio.boogy team dhidi yetu....
This ws was well planned keeping in mind midweek game ya Porto...
couldnt have asked for more than that Hendo assist, Salah goal...whats a great week tumekua nayo...
next stop no away Cardif after wrapping Semifinal place wt beating Porto..
THIS IS ANFIELD
IN KLOOP WE TRUST
YNWA
Asernal ni ndugu zetu hawa. Tunawaunga mkonoMkuu Aroon tunashukuru kwa kutupa kampani mpaka ushinde umepatikana, kesho nawatakia ushindi dhidi ya Watford...
Mkuu taratibu bwana. Mbona unwashughulikia jamaa zetu?kuna jamaa alikuja na kejeli kuwa leo tunashikwa kijambio naona yeye kijambio chake ndio kimetanuliwa na muhogo wa jang'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakayepata points 95 atakuwa bingwaNahisi kwa mara ya kwanza EPL itaweka rekodi ya timu kufikisha more than 95+ Points bila ya kuchukuwa Ubingwa
Yeah... Klopp nimemvulia kofia...kila tukipigiwa Ramli sisi haoooo tunasonga mbele na ushindi tu na si kingine...
Klopp n th boys wanatupa raha sanaaaa...
Pep leo alijua favor ya 5yrs ago itakuwepo..
kila timu ajimbembe...
Mtangazaji falaView attachment 1071724
wakati game inaelekea mwisho robertson aliteleza nikamsikia mtangazaji anatania"it was a tribute to steven gerrard"
![]()
Mkuu Aspirin...wewe ni mkongwe wa JF...wako wapi Dada zako Afordenzi, na wezake? I know Dema Amsi alitakungulia mbele za haki! Wale wengine wako wapi?Yeah... Klopp nimemvulia kofia...
Ila goli la Salah leo, kama kuna wanandoa walikuwa wanapeana mbegu wakati goli linaingia... watabarikiwa kupata mapacha...
Nimeongea na Yohana Mbatizaji akaniambia goli lilipoingia, malaika waliacha kuimba wakabaki kushangaa kama walichokiona kimetokea duniani au mbinguni.
Hii Liverpool ya sasa inatakiwa ikacheze na timu za sayari ya Mars...