Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,179
I wish ningeweza ku upload video.Amempengea anayetibiwa au amepengea pembeni? Nashuhudia mara nyingi tu wachezaji wakipenga kamasi uwanjani...
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish ningeweza ku upload video.Amempengea anayetibiwa au amepengea pembeni? Nashuhudia mara nyingi tu wachezaji wakipenga kamasi uwanjani...
Can't publicly be harsh on my own player for such issue, those are things that we warn each other in locker rooms and it remains in-house.
Unless there is any reason to apologize which I don't see.
Kuna mtu alinibishia hapa sikupinga mana nlikua sijui ila nilijiaminisha tu kua huyu dogo ni winga ila analazimishwa kucheza bekiRafael Camacho throwing digs at KLOPP, hahahahaha!
You know what? I love his atitude. And i pray we dont lose him.
View attachment 1071792
Pole kwa kushindwa ku upload lakini namwona refa yuko jirani kabisa hapo. Nadhani kama alifanya kitendo kisicho cha uungwana lazima atakuwa alimlamba kadi.
Pole kwa kushindwa ku upload lakini namwona refa yuko jirani kabisa hapo. Nadhani kama alifanya kitendo kisicho cha uungwana lazima atakuwa alimlamba kadi.
FA kama wataiona nadhani watatoa adhabu. Tusubiri tuone.Haikua rahisi refa kuona kitendo kilichofanyika. Ni ndani ya sekunde 3-5, imagine bro
Sent using Jamii Forums mobile app
FA kama wataiona nadhani watatoa adhabu. Tusubiri tuone.
Amazing performance from the ladsLIVERPOOL PLAYER RATING VS CHELSEA
Allison Becker - 7.
Saved well from Eden Hazard to stop Chelsea from getting back into the game. Look an assured presence.
Trent Alexander-Arnold - 7.
The Liverpool star looks like he has been playing at the highest level for years. Always looked alert and gave everything.
Virgil van Dijk - 8.
Assured again. The Liverpool star is a rock and, when Hazard was playing up top, barely gave him a sniff.
Joel Matip - 7.
Looked comfortable alongside Van Dijk and was strong when his side needed him most.
Andy Robertson - 7.
Like Alexander-Arnold, the 25-year-old was solid on the flanks and looked comfortable in both attack and defence.
Naby Keita - 6.
Hooked with the game beginning to get to him. Still looks unsure of himself in a Liverpool kit.
Fabinho - 8.
The Brazil international was a colossus and won his midfield battle with Chelsea bulldozer N’Golo Kante.
Jordan Henderson - 9.
The star of the show. His cross for Mane’s goal was sublime and the Reds star looks back to his best in a more advanced role.
Mohamed Salah - 8.
Scored a cracker and dented his former side’s hopes of a top four finish. A good afternoon for the Egypt international.
Roberto Firmino - 7.
The Samba star was full of energy and caused Chelsea’s defence problems with his movement.
Sadio Mane - 8.
Another goal for the Senegal international, who stepped up for Liverpool at a time where his side really needed him to.
Source, The Express
tumewazima kusema kusema sana hawa jamaa maana walijiapisha kutupiga ili watuvurugie kuchukua ubingwa sasa ni Big 4 sioni wakiingia kwa msimu wa pili mfululizo na itakua mara ya kwanza tangu aingie bilionea mrusi kucheza futuhi...
Mkuu umenifunga msimu huu Carabao hivyo msimu huu naweza sema "we are equal" ...umenifunga moja tukadraw moja nakakufunga moja...pole sana najua haya ya jana hamkutegemea...nilivyona Sarri kawaingiza "watoto" Odoi na Cheek nikajua ametupa ushindi...Hiyo sentensi ya mwisho utafikiri sijawahi kukufunga Anfield. Isokey nimeiona Anfield
Disgusting behavior from Fabinho. Tell me what was he doing.?View attachment 1071852
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaaaaa hatupendwi sana na jana walidhani wamekuja kudroo,but tha aggressive and determination ya vijana ilikuwa kubwtumewazima kusema kusema sana hawa jamaa maana walijiapisha kutupiga ili watuvurugie kuchukua ubingwa sasa ni Big 4 sioni wakiingia kwa msimu wa pili mfululizo na itakua mara ya kwanza tangu aingie bilionea mrusi kucheza futuhi...
kabisa wale wasiopenda tuchukue ubingwa msimu huu waliwekeza zaidi gemu hii ya jana aidha tuta draw au tupigwa but Klopp n th boys walikua wamejipanga kuhakikisha pointi zote zinabaki nyumbani...Hahaaaaaaaaaa hatupendwi sana na jana walidhani wamekuja kudroo,but tha aggressive and determination ya vijana ilikuwa kubw
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwa kweli lile goli litakua kwenye listi ya magoli bora EPL msimu huu..na ndogo anatetea kiatu chake cha ufungaji bora UK kwa msimu wa pili mfululizo ni jambo njema sana kwetu huyu ndogo makali yamerudi wakati mwafaka..Yeah... Klopp nimemvulia kofia...
Ila goli la Salah leo, kama kuna wanandoa walikuwa wanapeana mbegu wakati goli linaingia... watabarikiwa kupata mapacha...
Nimeongea na Yohana Mbatizaji akaniambia goli lilipoingia, malaika waliacha kuimba wakabaki kushangaa kama walichokiona kimetokea duniani au mbinguni.
Hii Liverpool ya sasa inatakiwa ikacheze na timu za sayari ya Mars...
hapa sasa upo uwezekano tukapambana mazima mpaka UCL maaba kwa gemu zilizobaki EPL ni manageable kabisa...Mmemaliza game zenu tafu zote, sasa hivi mnateleza tu, kuna kati ya man u au tot atamzuia city, au wote
Yohana 3:16
mkuu usishange hawa waingereza hua wanabebana sana...VVD na Allison kwangu walistahili kupata 10 out 10...Hivi lile shuti na asisti ndo inamfanya awe bora kuliko wote?
Mbona nimeona alivyotoka yeye ndo tim ikapata utulivu?
That is a great achievement kabisa,Kops tumefanya kwelikabisa wale wasiopenda tuchukue ubingwa msimu huu waliwekeza zaidi gemu hii ya jana aidha tuta draw au tupigwa but Klopp n th boys walikua wamejipanga kuhakikisha pointi zote zinabaki nyumbani...
mashabiki nao Anfield na kwingineko hawakia nyuma kuhakikisha ni ushindi na kurudi kileleni mwa ligi...
uzuri Klopp haji JF maana ungeshangaa next game Lallana huyoo na Fabo benchi...Think Klopp ameshamuamini Fabinho kwa Big games Coz against Bayern, Spurs and last night against Chelsea ameperform well.
Now its crazy kumuweka bench katika big games wakati Jana amewafanya Kante na Joginho kuwa Wazururaji.