loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
siyo kwamba cwapendi, hawa jamaa wamehifadhiwa jijini liverpool halafu hawana uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo kwamba cwapendi, hawa jamaa wamehifadhiwa jijini liverpool halafu hawana uzalendo
duu leo Ganaz kachemka japo bado mechi zipo zipo...haya muda utasema nani amalize wapi na amalize na kipi mkononi..sie well UCL itakua bonous EPL ndio yenyewe.Hii ndo inaitwa adui mwombee njaa eeeh pole sana kwa mawazo hasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha ila bora Barry bana kuliko Aqualani..hehe..wakati mwingine makocha pia ni binadamu hivyo Rafa hakujua he was losing such a talented guy without like for like replacement...Lucas n Mascherano upped thiet game bt they couldnt fit those shoes...Rafa alikuwa anamtaka Gareth Barry hahaha!
Aliishia kumkosa na Alonso akaondoka.
And i thank God hatukumsajili Gareth Barry, maana angekuwa ametuganda mpaka leo..
hahaha ila bora Barry bana kuliko Aqualani..hehe..wakati mwingine makocha pia ni binadamu hivyo Rafa hakujua he was losing such a talented guy without like for like replacement...Lucas n Mascherano upped thiet game bt they couldnt fit those shoes...
n if th club decided letting go him for their reasons am sure they learnt thier lesson
hope one day arudi kwenye Reds camp...him or Gerrand would be massive.
I stand to be correct when I say NO to Gerrard.....
Mkuu kumbuka Gerrard ni Scourser akipewa timu basi tujiandae na Kina Henderson na Milner wakijaa katika timu kama kipindi cha kina Charlie Adam na Downing.
Huyu bora Apewe cheo chochote katika timu lakini sio Bench la ufundi.
Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Sawa mkuu, tutakuja hiyo keshoUnadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hatuna mpango wa kushinda hiyo mech unayolazimisha tushinde. Huo mpango hatuna na top 4 tutaingia..wew utaona
Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahahaha mkuu.. Aquilani was miles better than Gareth Barry(on my view) sema naona tatizo la Aquilan alikua prone injury na hakupewa muda kuprove... Ila Gareth Barry angeiganda Liverpool mpaka sasa hivi maana waingereza wakishafikaga hiz big clubs hawaez kuondoka hata mpira ukiwakataahahaha ila bora Barry bana kuliko Aqualani..hehe..wakati mwingine makocha pia ni binadamu hivyo Rafa hakujua he was losing such a talented guy without like for like replacement...Lucas n Mascherano upped thiet game bt they couldnt fit those shoes...
n if th club decided letting go him for their reasons am sure they learnt thier lesson
hope one day arudi kwenye Reds camp...him or Gerrand would be massive.
Dah ila sisi Kops kuna kipindi tulikua tunapotezwa kabisa.. Imagine that time when Rickie Lambert ndio alikua our main ST...
Ilikuwa vichekesho sana those daysHahhahaaa
Ilikuwa hatari
Forward ya 4-3-3 unakuta wapo Mario ballotelli--Fabio Borini--Rickie Lambert
City tunaombewa mabaya kila paitwapo leo ila daima dua la kuku halimpati mwewe mtasubiri sana.hawa everton mambulula sana yani badala ya kumfunga city wenyewe wanamfunga arse anal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa vichekesho sana those days
We kigori na umemkatikia vizuri Everton. Kweli nimeiona sex football umedata kwenye mageto ya watu ukapewa cha maana.Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba