Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ulifuta comment wakati Salah yako ilishaenda?
Asante kwa kwa Salah yako imefanya yule Boya akose mchezo wa Jana na tukapata points 3.

NOTE:
Kwa Mara ya Kwanza UCL 2018/19 tunashinda AWAY baada ya kucheza bila ya Hendo.

Man usiombe ukutane na watetezi wake siku inakua mbaya

Jana wakati anachechemea nikasema 'Yes'

Kikubwa timu ya madaktari isituangushe kwenye majibu yake
 
Mkuu World Class Coach yeyote kwa Jana anapaswa kuilalamikia injury ya Hendo Jana kuwa iliwakosesha Bayern ushindi...

Guess angelikuwemo Hendo unadhani kina Martinez, Rodriguez na Lewando Jana wangelituacha salama? Yani kwa Hendo na Milner Wangelijitawalia tu pale kati!

Lakini baada ya kuumia Hendo na kuingia Fabinho Plan yao imeharibika na wakashindwa kuicontrol Midfield.
Hapo kweli mliwaweza, fabinho alivuruga hapo kati na mkatengeneza nafas nyingi kupitia salah,

Ila klopp kitu kinachomsumbua mpaka Leo hapo liver ni eneo la midfield , game Ya Jana hakukuwa na u lazima wa kuanza hendo ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye DRAW keshokutwa ndio mtihani.

Watakutanishwa timu mbili za Mwingereza ili wapungazane kwanza.

Utabiri wangu LIVERPOOL atakutanishwa na MANCHESTER CITY
Mm naomba manyua apewe liver , au manyua apewe man city,

Japo manyua huwa wanajiamin.sana wakicheza na liver ila sio michuano ya nje ya EPL,

Ujue manyua akiachwa acheze na kina Porto au Ajax, huku mtaani hatutapata raha

Ikiwezekana kabisa manyua apewe barca ,

Ila sion tena liver akipewa city, japo kuna asilimia kubwa waingereza wakakutana ili wapunguzwe

Waingereza kukutana haikwepeki.

Man C Vs Manure
Juve Vs Barca
Spur Vs Ajax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Kovac: "We had a strong opponent and we have to congratulate Liverpool and Jürgen Klopp. They were better in these two matches and we deserved to lose. Liverpool is a top team in Europe and they showed us our limits."

Sent using Jamii Forums mobile app

Natamani kumsikia yule dogo wa PSG aliyesema Liverpool haitakuwa hata top 4 EPL.

Atabaki anatuangalia kwenye TV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom