Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sadio mane Ni shida..na ntaendelea kusema milele huyu jamaa hapewi sifa anayostaili...
Salah anajitahid ila bado hayupo sawa tungepata goli zaidi ya tatu Leo..
Naiona fainali JUVE VS LIVERPOOL

Sent using Jamii Forums mobile app
SALAH siku ya leo alikuwa mzito kufanya maamuzi ya haraka.

MANE alikuwa akijitahidi kufungua Vyumba na kuomba mpira kutoka kwa SALAH, SALAH alikuwa hana hata habari, na yeye alikuwa anataka ajipatie Goli lake.

Mwishoni SALAH ndio amefanya maamuzi ya haraka, na matunda yameonekana, na MANE hakuleta ajizi hata kidogo.

MANE siku ya leo alikuwa ananukia HAT TRICK
 
That assit from
Mo Salah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n to be precise Fabi sub brought back life..th boys believed n worked hard to stop th flowing drunkard Bavarians..
Maskini Pep n he wished em luck watapige...atajiju we belong n made for this kind of UCL nights
Pep ameingiza bariiiiiiiiiiiid huko alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah n Firmino both had a nice game they kept th Bayern back line at bay they wont go help attacking n got caught on counter...

n that assist mannn t ws sublime from Salah...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom