NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,943
It was great,great and great.Katimu kokote wakalete tuu hainaga taabu.Liverpool YWNWA utabaki kuwa juu
Siwezi kumfault Matip sana kwa ile OG. Labda naweza kusema kipa hakuwa na anticipation, may be ni kwa kutokujua kama Gnabry atapiga cross au ata shoot golini. He had to protect the near post.Hongereni Liverpool Halisi na Wakereketwa kwa kuingia 1/4Fainali
Ila ile kona ya Milner ilikuwa superb yaani ilipimwa na ruler mpaka kwenye kichwa cha VVD
Hata hivyo mshukuruni MUngu sana kwa Henderson kuumia kipindi cha kwanza, maan mlishalemewa ila alipoingia Fabinho mkafufuka
Ila nadhani Matip akiendelea na quality hii atawagharimu sana
Kuna mahala nilimuombea injury after game ya burnley nilipata shambulio hadi nikafuta comment
Yani lazima kuna all English fixture hapa.Timu za uingereza lazima wazikutanishe, napenda mpewe manyua ili muwape kipigo kikali na kelele mtaani ziishe
Sent using Jamii Forums mobile app

433 away at home in big games
Fabinho atakuwa dropped tu.
But today, he proved him wrong.
He carried Milner and Gini in that MF and show them how to master the big games, away at home.
And guess what? Its our first away win this season kwenye CL.
So;-
Gini/Hendo/Milner - 0 wins
Faby/Gini/Milner - 1 win
Bila of ingekua tatu bilaSiwezi kumfault Matip sana kwa ile OG. Labda naweza kusema kipa hakuwa na anticipation, may ni kwa kutokujua kama Gnabry atapiga cross au ata shoot golini. He had to protect the near post.
Matip had no chance either way maana hata angeumiss ule mpira ilikua iwe simple tap-in kwa Lewandowski.
Kitu pekee naona Matip anatakiwa ku improve ni zile reckless challenges sehemu ambazo hazina hatari na pia anapo drive forward ana tabia ya ku misplace pass alafu ubaya unakuta ni sideway pass ambayo ikiwa intercepted na pro active player ni hatari maana tayari ameacha gap defense inakuwa exposed.
All ina all namsifu Matip. He's stepped in real well when needed the most. Namuona yupo calm kuliko hata Lovren.
To me ni bora acheze VvD na Matip kuliko acheze na Lovren.
Kutoka kwa Henderson kumeisaidia timu maana fabinho in moto wa kuotea mbaliUlifuta comment wakati Salah yako ilishaenda?
Asante kwa kwa Salah yako imefanya yule Boya akose mchezo wa Jana na tukapata points 3.
NOTE:
Kwa Mara ya Kwanza UCL 2018/19 tunashinda AWAY baada ya kucheza bila ya Hendo.
I guess Kocha wao atalalamika injury ya Hendo ndo imewa cost teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
We do great job
Forget other goal that first goal
Thanks for the injury
Vin magic is superb
Sanchez that kid damnFab knows
Great night to you kops
Hongereni Liverpool Halisi na Wakereketwa kwa kuingia 1/4Fainali
Ila ile kona ya Milner ilikuwa superb yaani ilipimwa na ruler mpaka kwenye kichwa cha VVD
Hata hivyo mshukuruni MUngu sana kwa Henderson kuumia kipindi cha kwanza, maan mlishalemewa ila alipoingia Fabinho mkafufuka
Ila nadhani Matip akiendelea na quality hii atawagharimu sana
Bayern hawana uwezo wa kuifunga Liverpool hata siku moja aiseeee hiyo sahau katika maisha yakoMkuu World Class Coach yeyote kwa Jana anapaswa kuilalamikia injury ya Hendo Jana kuwa iliwakosesha Bayern ushindi...
Guess angelikuwemo Hendo unadhani kina Martinez, Rodriguez na Lewando Jana wangelituacha salama? Yani kwa Hendo na Milner Wangelijitawalia tu pale kati!
Lakini baada ya kuumia Hendo na kuingia Fabinho Plan yao imeharibika na wakashindwa kuicontrol Midfield.
Wacha tusubiri hiyo yaumul jumaa tutapata majibuKwenye DRAW keshokutwa ndio mtihani.
Watakutanishwa timu mbili za Mwingereza ili wapungazane kwanza.
Utabiri wangu LIVERPOOL atakutanishwa na MANCHESTER CITY
Yani lazima kuna all English fixture hapa.
Man City nadhani ndio team itakayokuwa inapigiwa upatu zaidi mpaka stage hii. Nawatamani sana lakini naomba wapewe hata Barca watufuane kwanza ili kama hatuwezi kumkwepa tukutane nae kwenye nusu fainali au fainali huko tutifuane vizuri maana kwenye EPL nako mpaka kufikia stage hiyo kutakuwa kumenoga sana.
Liverpool winning thr double this season. I can't wait.![]()
Mkuu kuna sehemu ume flow hapo nkahisi kama naisikia sauti ya mwalimu KashashaSiwezi kumfault Matip sana kwa ile OG. Labda naweza kusema kipa hakuwa na anticipation, may be ni kwa kutokujua kama Gnabry atapiga cross au ata shoot golini. He had to protect the near post.