Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Natamani kumsikia yule dogo wa PSG aliyesema Liverpool haitakuwa hata top 4 EPL.

Atabaki anatuangalia kwenye TV.

Wasn't me

IMG_7656.JPG
 
natamani sana ningetazama hiyo mechi ila uoga wangu umeniponza kweli nimeamini ukiwa liverpool fake confidence ina drop sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ivi mkuu mshabiki wa Liverpool kweli unakosa kuangalia game yetu hata kama tunaelekea kupoteza?

Mkuu last season Man City alitupiga 5 na bado tukaangalia game mpaka 90' zikakamilika.
 
Ivi mkuu mshabiki wa Liverpool kweli unakosa kuangalia game yetu hata kama tunaelekea kupoteza?

Mkuu last season Man City alitupiga 5 na bado tukaangalia game mpaka 90' zikakamilika.
niseme tu ukweli tangu tulipo draw na bavaria pale home mechi ya mwisho kuangalia ni ile ya everton baada ya hapo nimekosa amani kabisa kuifuatilia liverpool jana yenyewe nilivizia live score around saa saba ndio nikapatwa na mshtuko wa furaha kuona tumepindua matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
great win for LFC last night.... congrats to you all folks in here!

the win doesn't surprise me one bit because probably i was one of only very few who believed we would triumph the second leg after that sterile first at Anfield.

believe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom