Manchester United MUNGU tujarie hii itokee ijumaa
Hii team ipo sawa mkuumkuu hongera sana sisi liverpool feki tulishakata tamaa tangu ile draw ya pale anfield imani yako imekuponya kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kwenye epl kuna changamoto sana kwa kuwa mbali na sisi kushinda pia ni lazima man city apoteze point ndio tushinde epl halafu mbaya zaidi hatuna mechi na city ambayo labda ndio tungekomaa ili kumnyang'anya point sasa hii ya kutegemea timu nyingine ndio zimpotezee point inatucost sanaHii team ipo sawa mkuu
Kopp katengeneza team nzuri sana
Ni kuzidi kuomba tu tusiwe na majeruhi
EPL ni yetu
I guess Kocha wao atalalamika injury ya Hendo ndo imewa cost teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni Liverpool Halisi na Wakereketwa kwa kuingia 1/4Fainali
Huyo kaisha ishiwa nguvumkuu kwenye epl kuna changamoto sana kwa kuwa mbali na sisi kushinda pia ni lazima man city apoteze point ndio tushinde epl halafu mbaya zaidi hatuna mechi na city ambayo labda ndio tungekomaa ili kumnyang'anya point sasa hii ya kutegemea timu nyingine ndio zimpotezee point inatucost sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha lazima ajitete hivyo kipigo kile akiwa nyumbani sio salama kwake..I guess Kocha wao atalalamika injury ya Hendo ndo imewa cost teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba tukikutana na nyie msitufunge goli nyingi ..mtufunge goli chache tu ..ata mbili ivi, sio mbaya..Huyo kaisha ishiwa nguvu
Liverpool akishinda games zake kubwa mbili home tunakuwa mabingwa
Tunatakiwa tumfunge Spurs aliye legea na rejuvenated Chelsea
Man City anategemea refa now kushinda game zake na April ana game tatu ndani ya siku 10 ambazo ni za Palace,Spurs na Man u!
EPL nadhani ni letu ,ni muda tu bado sababu sasa mbele hawa watatu 'wamechangamka'
Hiyo ndiyo mechi ambayo Liverpool inaweza tunyima ubingwa!Mkuu naomba tukikutana na nyie msitufunge goli nyingi ..mtufunge goli chache tu ..ata mbili ivi, sio mbaya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu za uingereza lazima wazikutanishe, napenda mpewe manyua ili muwape kipigo kikali na kelele mtaani ziishe
Sent using Jamii Forums mobile app


tutauaIkitokea ikawa hivyo basi man united sioni kama watatoka aise ...Timu za uingereza lazima wazikutanishe, napenda mpewe manyua ili muwape kipigo kikali na kelele mtaani ziishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mzee bado naota ndoto?? Si waona tulichomfanya huyo BAVARIAMkuu unaota ndoto ngumu sana katika maisha yako