OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Siku ambayo unajiamini ndo siku ambayo unapoteza..bishaaYani miongoni kwa Siku ninazojiona kuwa katika game sina cha kupoteza basi ni leo.
Yaani nitaangalia hii game kwasababu hii timu naioenda tu lakini najihisi wazi kuwa I've nothing to lose.
Wewe huna timu ya kupambania uefa..Uache dharau wew. Unajifanya kuisahau Man U...endelea
Aisee sijui ni lale tuLineup hii hapa. Fabby kaanzia bench, Milne na Captain Heddo wameanza.View attachment 1045042
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Midfield ya ku-drive timu kwenda forward hapo Kaka sana sana tutacheza mpira wa kuvizia tu
Can see us playing a good MF tomoz and blow Burnley away completely.
.....and go back to Brexit Midfield against Bayern.
We’re so predictable.
Historia haina nafas yeyote kweny mpira wa sasa ..muhimu ni kwamba leo liverpool hatoki..Kipindi yupo Dortmund kaibonda zaidi ya mara tatu hiyo Bayern hapo hapo unapopasema pagumu...
Ukiangalia historia ebu kaicheki AJAX HISTORIA YAKE PALE SANTIAGO IPOJE KABLA YA WIKI ILIYOPITA..
Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti kubwa Sana ukiwa namba moja na waliokuwa namba za chini yako hiyo ni kote hata kwenye maisha tu....
Sisi tucheze defensive game wakat hatuna Cha kupoteza kweliii?!?hata dunia itamcheka klopp..
Kuanza kwa llallana kwenye gemu iliyopita ni ishara tosha hakuna kubaki baki nyuma Tena kwenye epl ..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHistoria haina nafas yeyote kweny mpira wa sasa ..muhimu ni kwamba leo liverpool hatoki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Here we go again.
Last season ni kma mlifanya suprise tu ..ila kwa sasa timu nyingi zimeshajua namna mnavyocheza..Mbona hata last season hamukueka Liverpool kucheza Fainali? Sasa kutokumueka hapo pans jipya?
Sala leo ajifunze kutoka kwa mwenzake Cristiano Ronaldo kwa ajinsi zlivyoji-risk na kuibeba Juventus robo fainali katika mazingira magumu