Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpaka sasa hivi man city kapoteza(alifungwa )mechi 4, kwenye hizo alizopoteza alicheza na crystal palace alifungwa akiwa nyumbani,alifungwa na newcastle na Leicester city.

Kwenye mechi alizobakiza city kabakiza na timu zilimfunga round ya kwanza.nimezitaja hapo.

Ndio Maana tunasema city lazima will drop point.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ikiwa ni Hivyo tulimfunga Leicester Away lakini tulishindwa kumfunga Nyumbani.

Round ya Kwanza tuliwafunga Everton, Man United na West Ham lakini Second round tumeshindwa kuzifunga timu hizo.

So, iwapo Man City yupo katika Risk ya Kudrop points, kwanini Liverpool asiwe katika position ya kudrop points?

Mimi nahisi sisi Liverpool ndiyo tupo katika risk kubwa zaidi ya kudrop points kwenye michezo iliyobakia.

Kwanza Klopp atakavuoiaproach game ya Chelsea with defensive minded basi niwazi kwenye game hii tutadrop points.
 
Kuna tofauti kubwa Sana ukiwa namba moja na waliokuwa namba za chini yako hiyo ni kote hata kwenye maisha tu....
Sisi tucheze defensive game wakat hatuna Cha kupoteza kweliii?!?hata dunia itamcheka klopp..
Kuanza kwa llallana kwenye gemu iliyopita ni ishara tosha hakuna kubaki baki nyuma Tena kwenye epl ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwenye game ya vs Man United na Bayern Mkuu tulikuwa na cha kupoteza?
Sasa mbona tulicheza kwa Defensive Minded?
Nadhani wewe humjui Klopp! Hivi unadhani Klopp anaogopa kuchekwa kwenye maamuzi Yake?
 
Wakat wa game ya man mkuu tulikuwa tunaongoza ligi,game ya Bayern tulishambulia lakin kwa umaki maana Kuna goli la ugenini tuliliogopa...
Anyways muda Ni hakimu...tusubili tuone

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mmefanyiwa tagging huku..hakuna rangi mtaacha ona
20190312_203322_rmscr.jpeg
 
Hivi kweli leo Juventus atachomoka kwa wazee wa ngwasuma/Atletico Madrid?

Sent using Jamii Forums mobile app
Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juve wana winner player kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson. are talents but can't win you a major trophy

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Kaka, lkn mi niko kwa Sari masigara/Chelsea Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom