Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
hapana kaka tazama mpira ndugu uwezi jua yawezekana mistake moja ikabadili upepo wa hii gemu...Mimi nimehairisha livescore itanitosha tu.
ni burudani tu dont bo so hard on uaself
hapana kaka tazama mpira ndugu uwezi jua yawezekana mistake moja ikabadili upepo wa hii gemu...Mimi nimehairisha livescore itanitosha tu.
Tunaenda kupata aibu kama jamaa wa msimbazi. Tatizo la heddo mimi naona ni kupooza game. Anafaa kwa game zakujilinda.Aisee sijui ni lale tu
Wewe unajua soka manejiment kuliko Klopp?
Mtasali sala zote...hitler's land haitawaacha
Sawa.ombeni pasina kuchoka.Ombeni kila wakatiMtasali sala zote...hitler's land haitawaacha