Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavizia timu ikishinda ndio unatuandikia articles zako humu
 
Hakuna shabiki was Bayern Tanzania wrote in wanafiki tu
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wee Arsenal ni tia maji tu ..unaeza pigwa next game kizembe alafu wababe wa england tukashinda za kutosha tu..

Kweny izo gem mbili liver lazima ata drop point

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe najua man u lazima umng'ang'anie , hivo kazana uchukue nafas ya 4

Mimi siwez kupoteza kizembe, asilimia kubwa wachezaj wapo fiti, majeruhi yamepungua ,

Naiman tot anashushwa pale juu,

Namba 5 na 6 ikiwa tot na manyumbu nitafurahi sana maana wanakelele sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sala leo ajifunze kutoka kwa mwenzake Cristiano Ronaldo kwa ajinsi zlivyoji-risk na kuibeba Juventus robo fainali katika mazingira magumu
 
Wana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
 
Shida moja kila ukiombea wewe team inafungwa, siku ukiwa kimya tunashinda, ,

Anyway, leo tutashinda, droo ya moja moja au matuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
Tupo liverpool halisi kukuunga mkono good luck Mr Liverpool
 
Shida moja kila ukiombea wewe team inafungwa, siku ukiwa kimya tunashinda, ,

Anyway, leo tutashinda, droo ya moja moja au matuta

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.

"farisayo" ni yule mtu ambaye hujiona yeye ni bora au anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine. mathalani mtu kujiita "mwana "Liverpool halisi" anamaanisha kuna "Liverpool wasio halisi" upande wa pili - huu ni ufarisayo!
 
Tunamtoa Bayern then tunamtaka Juve baada ya Hapo watupe City au UNT...Fainali na Barca

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh Kama ikitokea tumemtoa bayern,,mkuu juve hii ya Ronaldo sio ya kuomba kukutana nayo kabla ya fainali...mara Mia tatu hao Barca wa Sasa hivi...Hawa waitali wanakua na roho za kikatili Sana kipindi hiki Cha michuano Bora ukutane nao fainali tu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.

"farisayo" ni yule mtu ambaye hujiona yeye ni bora au anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine. mathalani mtu kujiita "mwana "Liverpool halisi" anamaanisha kuna "Liverpool wasio halisi" upande wa pili - huu ni ufarisayo!
Kuna MWEHU hapo juu kaandika anaombea Captain Hendo aumie
Sasa huyu pia anajiita ni Liverpool na ana wenzake!
Shabiki maandazi kama huyu unamuitaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom