Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.

"farisayo" ni yule mtu ambaye hujiona yeye ni bora au anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine. mathalani mtu kujiita "mwana "Liverpool halisi" anamaanisha kuna "Liverpool wasio halisi" upande wa pili - huu ni ufarisayo!
Kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna MWEHU hapo juu kaandika anaombea Captain Hendo aumie
Sasa huyu pia anajiita ni Liverpool na ana wenzake!
Shabiki maandazi kama huyu unamuitaje?
OK but hakuna haja ya kumwita majina.
ignore him/her and just support our LFC bana!
 
Wana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
MwaNa Liver halisi leo sion ni wap utatokea ..Allianz Arena ni machinjioni..

Klopp hana historia nzuri na ule uWAnja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni epl kwanza navyoichukia Barça ninawaombea mpite mkiwa wanne mnaweza kumnyang'anya barca kikombe
 
MwaNa Liver halisi leo sion ni wap utatokea ..Allianz Arena ni machinjioni..

Klopp hana historia nzuri na ule uWAnja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi yupo Dortmund kaibonda zaidi ya mara tatu hiyo Bayern hapo hapo unapopasema pagumu...
Ukiangalia historia ebu kaicheki AJAX HISTORIA YAKE PALE SANTIAGO IPOJE KABLA YA WIKI ILIYOPITA..

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
Leo Bayern wanatumia msemo huu kwenu ,Jogoo wa shamba kamwe hawiki mjini Allianz Arena, kwetu sisi watoto wa mjini leo hatuna dua mbaya kwenu ila mkiyaboronga mtayanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni Concept mbovu kabisa ambayo inayoka kwa Washabiki wa Chelsea tu wala haikuwahi Kuwa proved right kwani haina Backup yoyote.

Nitajie Kikosi Cha Liverpool kilichobeba CL mwaka 2005 winner player wa hayo Makombe Makubwa ni nani?

Dudek?
Carragher?
Hypia?
Traore?
Gerrard?
Riise?
Haman?
Kewel?
Garcia?
Baros?
Alonso?

Je kati ya hao nani aliyewahi kubeba CL au EPL before?

Je, kikosi cha Mourinhocha FC PORTO knaniilichobeba CL 2003 nani aliyewahi kubeba hayo Makombe Makubwa kabla ya hapo?

Huyo wako na Chelsea wenzio ni uchambuzi uchwara munaotaka kuujengea concept uwe reality wakati ni just assumption tu!

Zungumzeni vitu vyenye Logic bhana musiwe munakurupuka tu hakuna uhusiano wa Mchezaji kuto kubeba Kombe awali na kubeba Kombe sasahivi.
 
Unavizia timu ikishinda ndio unatuandikia articles zako humu

Yani huyo jamaa kwa kuandika Pumba hapa hawezekani!

Tena Pumba zake hazina tafiti yoyote wala mifano hai!

Wakati Barcelona kina Messi, Busquet na Suarez wana kila aina ya Makombe ilipolambwa 4 - 0 na Roma mwaka Jana ambayo wachezaji wake hawakuwa na hata kikombe cha kahawa hakuja hapa na Pumba zake!
Real yenye kila Makombe ilipotandikwa 4 na Ajax hakuja hapa na Pumba zake!
Kasubiri Juve ishinde ndiyo analeta Ngonjera hapa.

Yeye anaongea Pumba wakati sisi tunaoushahidi wa Timu zilizobeba Makombe Makubwa zikiwa na average players ambao hapo awali hawakuwahi kubeba Makombe hayo.
 
Hii ni Concept mbovu kabisa ambayo inayoka kwa Washabiki wa Chelsea tu wala haikuwahi Kuwa proved right kwani haina Backup yoyote.

Nitajie Kikosi Cha Liverpool kilichobeba CL mwaka 2005 winner player wa hayo Makombe Makubwa ni nani?

Dudek?
Carragher?
Hypia?
Traore?
Gerrard?
Riise?
Haman?
Kewel?
Garcia?
Baros?
Alonso?

Je kati ya hao nani aliyewahi kubeba CL au EPL before?

Je, kikosi cha Mourinhocha FC PORTO knaniilichobeba CL 2003 nani aliyewahi kubeba hayo Makombe Makubwa kabla ya hapo?

Huyo wako na Chelsea wenzio ni uchambuzi uchwara munaotaka kuujengea concept uwe reality wakati ni just assumption tu!

Zungumzeni vitu vyenye Logic bhana musiwe munakurupuka tu hakuna uhusiano wa Mchezaji kuto kubeba Kombe awali na kubeba Kombe sasahivi.
Baada ya mechi ya leo leo usiku tutajua. Ila jua kuna factors nyingine siyo hiyo tu. Kuna vitu kama
=>The quality of the opponent teams in the tournament.
=>The character and experience of a coach.
Lakini haiondoa umuhimu wa leadership katika dress room. Leader lazima awe/wajue winning ways. Ndo maana miaka yote 30 bado hamnyanyui kwapa. Na bado mna miaka mingine 58

Lete hoja zinazoweza kubackup unachoongelea.

To a Mifano halisi tuyaone hapa!

2005
√ Je Benitez alikuwa World Class kocha ambaye alishashinda Makombe mengi hapo kabla?
√ Je AC Milan ya Kina KAKA, CRESPO, SHEVCHENKO, GATTUSO, PIRLO, MALDIN haikuwa na quality mbele ya Liverpool?

Huna points yoyote ya kuweza kuprove unachokidai..

Kufungwa kwa Liverpool leo hakujustify chochote kwa hicho unachokiclaim..

Hata tufungwe 10 - 0 bado utabakia hupo sahihi kwani hata Red Stars alishatufunga.
 
UEFA the best 16th, iliisha jana leo kuna mazoezi tu kwa timu ambazo zipo kwao.. IF YOU KNOW YOU KNOW

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lete hoja zinazoweza kubackup unachoongelea.

To a Mifano halisi tuyaone hapa!

2005
√ Je Benitez alikuwa World Class kocha ambaye alishashinda Makombe mengi hapo kabla?
√ Je AC Milan ya Kina KAKA, CRESPO, SHEVCHENKO, GATTUSO, PIRLO, MALDIN haikuwa na quality mbele ya Liverpool?

Huna points yoyote ya kuweza kuprove unachokidai..

Kufungwa kwa Liverpool leo hakujustify chochote kwa hicho unachokiclaim..

Hata tufungwe 10 - 0 bado utabakia hupo sahihi kwani hata Red Stars alishatufunga.
Hebu nijibu tafauti na hiyo mifano miwili una mfano mwingine? Kuba vitu ni excepetions but such cases are very few. Ni sawa unaambia the states of most metals is solid except liquid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is Liverpool! Tuletee Bayern hao tuwauwe! Baada hapo tunamtaka Juve au Barca.

Mtatusumbua kwingine lakin UEFA ni nyumbani. #YNWA
 
Hebu nijibu tafauti na hiyo mifano miwili una mfano mwingine? Kuba vitu ni excepetions but such cases are very few. Ni sawa unaambia the states of most metals is solid except liquid.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo Katika hizo unazoziita Few Cases ndiyo Kina Mane, Salah na Firmino hawezi kuwa miongoni mwa few cases si ndiyo?

Hebu niambie kwa Mara ya Kwanza Man United kubeba EPL mwaka 1992 Ferguson alikuwa na Historia ya Kubeba Makombe Mangapi ya EPL?
Na Je Wachezaji wa Man United wa Kipindi hicho walikuwa wameshabeba Makombe Makubwa Mangapi hata wakaweza kubeba EPL?

Blackburn mwaka 1995?

Chelsea mwaka 2005?

Arsenal kwa Mara ya kwanza baada ya kuja Wenger?

Leicester City?

Deportivo La Coruna kubeba Laliga mwaka 2000 mbele ya Real na Barcelona?

Marseille kubeba CL mbele ya AC Milan ya Kina George Weah mwaka 1993?

Dortmund kubeba Bundes Liga mbele ya Bayern?

Je unahitaji mifano zaidi?

Mkuu kama huna data bora nyamaza kimya usiaibike!

Jifunze kuchambua mpira sio ueke hisia zako kuwa ndiyo principles!

Narudia tena! Nikiwa Nimekuekea Mifano hai kabisa hakuna Uhusiano wa Kubeba Makombe na kuto kubeba Makombe kuwa ndiyo kutawezesha uweze kubeba makombe.

Liverpool Haibebi Makombe kwa Ubovu wake tu lakini si Kwasababu wachezaji wake hawajawahi kubeba Makombe.

Kama ni Hivyo hata Siku moja OLYMPIC MARSEILLE amabayo haikuwahi kubeba Kombe kubwa hata moja isingebeba CHAMPION LEAGUE mwa 1993 kwa kumfunga AC MILAN iliyokwisha kubeba kila kitu.

Ukija njoo na Data sio uniquote kwa hisia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom