Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kama tutashinda hii mechi basi milner na henderson watakuwepo saaaana ila kama tutafungwa nadhani itakuwa ndo safari yao.

baada ya ile sare na sevilla 3-3 ndiyo klopp akaanza kumtumia Andy Robertson na kumweka bench Moreno.

Baada ya Karius kurudia makosa yale yale kwenye pre-season ndipo Klopp akaingia sokoni kumleta Allison.

Klopp seems to learn in hard way maana kwa kelele za kwenye mitandao hazimsumbui Klopp sawa na mtoto ukimkataza wembeee hasikii mpaka umkate kwanza ndo atasikia kama tutatoka basi our midfield will change completely.

All in all, naomba tushinde mengine tutajua huko mbele ya safari
 
Yani leo nimeamua kubaki Neutral tu mpaka dakika 90' ziishe. Sisemi kuwa tunashinda wala sisemi kuwa tunafungwa!

Baada ya dakika 90' tukisonga mbele basi napiga mdedea!

Lakini tukitolewa nakuja kivyengine
 
kama tutashinda hii mechi basi milner na henderson watakuwepo saaaana ila kama tutafungwa nadhani itakuwa ndo safari yao.

baada ya ile sare na sevilla 3-3 ndiyo klopp akaanza kumtumia Andy Robertson na kumweka bench Moreno.

Baada ya Karius kurudia makosa yale yale kwenye pre-season ndipo Klopp akaingia sokoni kumleta Allison.

Klopp seems to learn in hard way maana kwa kelele za kwenye mitandao hazimsumbui Klopp sawa na mtoto ukimkataza wembeee hasikii mpaka umkate kwanza ndo atasikia kama tutatoka basi our midfield will change completely.

All in all, naomba tushinde mengine tutajua huko mbele ya safari
kabisa this gaffer all signs reads he gets t th hard way otherwise ni ngumu kuelewa nwa utamasikia ooh i had to change th system after kuumia Keita etc...
 
I saw it coming!! kile kile kikosi kilichoanza vs napoli ndo kimeanza leo..

ok klopp knows better, but i dont trust this guys.. because ndio kikos cha msimu uliopita., there is no new signing added in the first team today
 
Imagine wewe ni Fabinho unatumiwa kama Punda yani akiumia CB unapelekwa wewe ukazibe nafasi then inakuja Game muhimu kama hii unaekwa bench unadhani utajisikiaje?
no wonder his agent sounded PSG Jan aodoke Liverpool wakasema aint interested to sell...

big games for big players ajabu Hendo, Millie wapo mbele ya irreplaceable Fabi..
 
Mkuu unakumbuka Nilipokuquote ukareply hivi?
Bado hujamjua Klopp lakini karibu utamjua ni nani!
Kuna tusi zito nilitaka nilitoe nilipoona hiki kikosi ila mm sio muumin wa matusi.....ila mkuu kiukweli naangalia game sababu Nina roho ngumu ila sikutegemea klopp kuanza na hiki kikosi!!

Namuachia mungu maana nshafanya maombi yote yeye ndio muamuzi ila klopp tukitoka Leo sitomsamehe...

Twende wana reds pamoja..#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimehairisha livescore itanitosha tu.
 
I saw it coming!! kile kile kikosi kilichoanza vs napoli ndo kimeanza leo..

ok klopp knows better, but i dont trust this guys.. because ndio kikos cha msimu uliopita., there is no new signing added in the first team today
Kapungua Emre can apo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom