DE GEA ana saves 92 dhidi ya 62 za ALISON msimu huu,ila ALISON anaongoza kwa CS ambazo kwangu mimi sio kigezo kikubwa sana maana beki za liver ni mziki mnene ukilinganisha na united so ALISON anatembelea sana kivuli cha kina VVD kupunguza hatari nyingi zinazoelekea langoni kwake
Mkuu naona unalazimisha de gea aonekane bora msimu huu,
Nini labda sifa za golikipa bora? kwangu Mimi ni kuwa na clean sheets nyingi.
Kama save anazo 62 na beki iko imara inamaana Na yeye pia alikuwa anaokoa sana na sio beki.mkuu mambo yanabadilika allison ni world class golikeeper.
Angalia magoli waliofungwa utangundua de gea sio Bora kumzidi allison.
Mechi ya arsenal na man u, de gea anafungwa goli na xhaka la kizembe anauona mpira unakuja kabisa
Yeye anamove ukiuangalia mpira mpira umeenda kwenye direction uliopigwa yeye ndio anaangaika mpaka anaonesha kama mpira umebadirisha direction kumbe yeye ndio amemove na sisi uku tukaona kama mpira umebadili direction.
Kuna save nyingi za hatari kaokoa ila mashabiki wa Liverpool atuzisemu mitandaoni kama akiokoa de gea Yaani inakuwa ndio Habari.
De gea angekuwa bora kumzidi allisson asingefungwa hayo magoli yote aliyofungwa mpaka sasa.
allisson kafungwa goli 16 tu kwenye ligi mpaka sasa
de gea angekuwa bora asingefungwa hayo magoli aliyofungwa angezui asifungwe hata kama beki mbovu maana yeye ni bora anajua kudaka sana.
Mkuu usimchukulie poa allisson,huyo goli kipa afungiki kirahisi.mashabiki wa Liverpool tangu amekaa langoni allisson tumekuwa na amani sana.
Akiwepo huyo tunaamini mpira upo kwenye mikoni salama.
Unataka kusema clean sheets za Liverpool allisson ajachangia? Kwenye mechi 17 wavu wa Liverpool aujaguswa unataka kusema beki ndio wanazuia tu mechi 17 ni nyingi lazima goli kipa atakuwa yuko vizuri tu.
Achakuishi kwa mazoea na kufata mkumbo wa kwenye mitandao.
Save 92 na 62 kwenye mechi 30 ,bado allisson yuko juu licha ya kuwa na beki imara lakini kaokoa micho yote hiyo . Na tofauti ni ndogo hiyo ingekuwa save ni 10 au 20 sawa ila 62 ni nyingi sana na unavyosema analindwa na mabeki imara.
Sent from my iPhone using JamiiForums