Dude, managers are there to lead players, wachezaji wanacheza uwanjani kutokana na directions za manager, manager ndio anaamua structure ya mchezo.
You cant blame players kwa ubovu wa tacticts za kocha, na huwezi kufananisha mafanikio ya kocha na yale ya mchezaji katika football.
Klopp as a manager, hata akiondoka leo atakumbukwa kwa kuipeleka LFC kwenye CL final (that is his trademark as LFC manager mpaka sasa).
Klopp will always get criticized for team selections/technical approaches/trusting shit players/not winning trophies etc, because he’s a manager.
Salah, will always get criticized for not scoring goals.
You see the differences hapo? Mwenye jukumu kubwa la kuhakikisha team inashinda trophies ni KLOPP siyo SALAH, because hata iweje salah always atacheza na kua-dopt kulingana na matakwa ya kocha. So the entire team inaposhindwa kudeliver anayekuwa responsible ni Manager, siyo mchezaji.
then...why am i dismissing (huwa simkosoi) Hendo on daily basis na alikuwa na msimu mzuri 2013/14, well first off he had a decent season, then amekuja LFC 2012, so apart na decent season aliyokuwa nayo 13/14, ameendelea kuwa average and useless player mpaka sasa, it amazes me kuona unashangaa mimi kum-dismiss mchezaji ambaye for the last three seasons playing as a B2B and a regular in a team ana goals 2 na assists 2, na unapata tabu kuelewa kwanini nasema its not fair to dismiss Salah ambaye in the last two season ana goals zaidi ya 50 na ame-impact status ya team kwa kiasi kikubwa sana, so why should i dismiss him for his bad patch for this past few weeks? Salah angekuwa ni useless player for the last 5 seasons ningekuwa nam-dismiss kila siku pia in this platform, but he’s not a all, he has scored 17 goals na ametoa pass za magoal 7 (more than Hendo in last 3 season playing as 2nd number 10), unataka nim-dismiss?
Criticizing and dismissing ni vitu viwili tofuati, if you want to crticize a player without dismissing him, angalia na jifunzeni kupitia posts za
M-mbabe, you cant be dismissing mchezaji aina ya Salah kwa kisingizio cha crticizm and ukadhani watu hawata-notice.
And lastly, i crticize Klopp a lot, but i’ve never dismissed him (wanting him out etc), because i acknowlegde alichoifanyia LFC mpaka sasa.
I dismiss Hendo/Lovren/Lallana etc because they have done nothing for this team tangu waje at LFC, plus we didnt sign them for cheap at all, Hendo was decent in 14 (thats it), Lallana had 3 good months in 16/17, and what about Lovren? so why should i not dismiss these players?
VVD can have few bad weeks, and i will crticize him to boost his morale but i will never try to dismiss him and disrespect him at all, same to Fabinho/Mane/Alisson/Salah/Firmino etc. because i know what they can do wakiwa kwenye form.