Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ingawa tumeshinda lakini hata hivyo bado creativity ni tatizo kwenye Midfielders na ndiyomana Magoli yote unayakutia ni Front three ndiyo wanayacreate wenyewe na kuyafunga wenyewe.
Mido inashindwa kuwa-assist wafungaji.
Marekebisho bado yanahitajika
Mido inashindwa kuwa-assist wafungaji.
Marekebisho bado yanahitajika

