Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
1) OblakMy top 3 keepers for this season;
1. Ter Stegen
2. Oblak
3. Alisson.
2) Ter Stegen
3) Allison
that top 3 so far for this season.
1) OblakMy top 3 keepers for this season;
1. Ter Stegen
2. Oblak
3. Alisson.
New Manu walijiaminisha jana wanatua nafasi ya tatu bila kuelewa na nyinyi mna njaa na top 4..pamoja mkuu..................wale jamaa fungate lao limeisha
Trash~Kwa jinsi ninavyoiamini reasoning yangu, na kwa jinsi ambavyo ninaamini kuna watu wanaamini kwamba nina akili timamu.
Ni aibu kwangu na kwa watu wanaoniamini kukutwa ninabishana na mtu anayeamini hicho nilichoki-quote.
It's a disgrace to football fans and to the game itself to even put them into the same class.
huyu kocha wa Southmpton kaijenga vzuri sana ile timu tangu aingie jamaa si watu poa hta kidogo..√ Southampton
√ Spurs
√ Chelsea
Hizi mechi si za kuzibeza hata kidogo
Tusihadaliwe na performance ya jana
Burnley mara hii hawana msimu mzuri.
pole sana kwa jana...huyu Salah ukweli makali yamepungua sana Klopp kumchezesha ni vile hana mbadala wa kuja kuleta hayo magoli 17 aliyofunga mpaka sasa....wakati mwingine kwa wafungaji huu upepo huwatembelea wa kutofunga kama ilivyo kwa Salah sasa hivi..cha msingi ni kuzidi kumwamini na azidi kujituma kama mwenzie Firmino na magoli kwake yatarudi..Wakuu hongereni kwa kupambania kombe ila huyu ndugu yenu Salah ninawahakikishia kuchelewa kufanya maamuzi kutawaghalimu sana ingekuwa Big mechi tusingeona goli la la pili la Mane na la tatu la Bobi mabeki wangeokoa yeye angeendelea kupiga usingizi.
Definetly Nuno is headed for big things, Spurs il be good for him if Poch left...Think, Spurs will go for him if Poch leaves in the summer..
He’s a very good manager.
Sky is the limit for him
No way man kumbe n u wonder n wonder who pushes Klopp to keep this dude in th 1st 11...
No way man kumbe n u wonder n wonder who pushes Klopp to keep this dude in th 1st 11...
Definetly Nuno is headed for big things, Spurs il be good for him if Poch left...
he is master technician like jana Chelsea had all th ball but no penetration well set to frustrate them...
nice to have him around tho kupunguza kugawa points na ligi kua na ushindani..
1) Oblak
2) Ter Stegen
3) Allison
that top 3 so far for this season.
My Top 3
1) De Gea
2) Stegen
3) Oblak
Trash~
You have two alternatives!
PUT YOUR MONEY WHERE THE MOUTH IS or JUST SHUT YOUR MOUTH UP!
Alison ni kipa mzuri lakini sio wa kumpita DE GEA ukweli ambao washabiki wengi wa liverpool hamuutaki ni kuwa Liverpool ina ukuta mgumu sana msimu huu na ndio unaomlinda sana ALISON mimi namuunga mkono moja kwa moja King NgwabaDe gea? This season?
30 games
40 goals.
Only 7 cleansheets.
Not comperable to the likes of Oblak/Ter/Alisson this season.
Alison ni kipa mzuri lakini sio wa kumpita DE GEA ukweli ambao washabiki wengi wa liverpool hamuutaki ni kuwa Liverpool ina ukuta mgumu sana msimu huu na ndio unaomlinda sana ALISON mimi namuunga mkono moja kwa moja King Ngwaba
Mmmhhh mbona mechi ya man City na United ipo mbali sana...Kuna mechi karibia tatu before hiyo mechi,,huoni kuwa mengi yatakuwa yashatokeaKupoteza kwa man u leo is sounding like a gud news to us, their next fixture is against man city mechi ambayo sidhani kama OGS atakubali kupoteza kirahisi rahisi. The way to the top of the league is loading hahaha
De gea? This season?
30 games
40 goals.
Only 7 cleansheets.
Not comperable to the likes of Oblak/Ter/Alisson this season.
weka takwimu, ninavyojua De gea ana saves nyingi kuliko BeckerWatu bado wamekariri performance za zamani pamoja na zile saves za hapa pale za game moja wanahisi ana cleansheet nyingi with save rate kuliko Allison
This season Allison miles away than De gea