Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
lol kweli huu msimu noma sana...sioni goli 30 zikifungwo kwa kweli kwa mechi zilizobaki...Naona Mane anakuja mdogo mdogo akifunga mechi ijayo ana kwenda kuleta upinzani wa kweli kwenye hicho kinyang’anyilo cha ufungaji bora wa epl
View attachment 1042461
Sent from my iPhone using JamiiForums
hata Sterling anakuja vzuri