Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi tunaposema mchezaji flani anafanya vibaya ndio tunakuwa hatumpendi!!?tunapenda wachezaji wote Ila inapotokea mchezaji anazingua,morali yake ipo chini lazima asemwe ili Kama kubadili abadilike na yeye sio wa kwanza kusemwa humu ndani..ukisema kuhusu magoli muhimu hata origi,sturrdge wote wamekuwa na mchango kwenye mechi muhimu lkn pia wanasemwa...

Mapenzi binafsi yasikufanye ukawa kipofu mkuu..ukweli tuseme na uwongo tuukatae.nimemaliza

#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app

Dude, post yako ya mara ya kwanza niliyoi-quote haina any sort of criticims, bali ni “upondaji”

Unaposema kuwa magoal ya mchezaji hayakusaidii kama mshabiki kisa team imetoka patupu, huo siyo “ukosoaji” ni “upondaji” na “ulalamikaji usio na msingi”

You cant be saying that kwa mchezaji ambaye magoal yake ya msimu uliopita yalisaidia team yako kumaliza Top four na kuingia CL final (huku tukiwa na defence mbovu), hayajaisaidia team au wewe kama mshabiki.
 
Hivi unaelewa kuwa, Salah ndiye mchezaji aliyefunga most important goals za LFC this season (points-winning goals).

Unajua bila hizi goals round ya kwanza kwenye league, tungekuwa tunagombania Top four na Arsenal/chelsea/utd?

Mbona mnapenda kuongea bila kufanya research?

Mane who had a bad first round kwenye league, ndiye anayetuweka kwenye race mpaka sasa kwa his goals recently, Salah who had a good first round, ndiye aliyefanya tuwe na points za kutosha kufikia xmass.

Mchezaji muhimu wa Team yupo off-form (anapitia bad-patch), unaanza kum-dismiss bila kuangalia mchango wake mkubwa mpaka kufikia sasa.

Its ok to criticise him, lakini siyo kum-dismiss like he’s nothing, he’s the most important player in this team apart from VVD/Fabinho/Firmino/Mane/Gini.

wengi bado wanaangali form za game kadhaa alizo potea na kutokufunga bado hawataona performance yake ya leo
 
Yeah man wr have three big games left IMHO. Spurs and Chelsea at home and that Soton game away.

so confident on Spurs and Chelsea as we will be playing home at Anfield

But southampton are so organized now, and play a very compact football, plus it will be away at home.
 
Great 3 point .......... Next Munich naimani sana kwa hii game tunapita
 
Dude, post yako ya mara ya kwanza niliyoi-quote haina any sort of criticims, bali ni “upondaji”

Unaposema kuwa magoal ya mchezaji hayakusaidii kama mshabiki kisa team imetoka patupu, huo siyo “ukosoaji” ni “upondaji” na “ulalamikaji usio na msingi”

You cant be saying that mchezaji ambaye magoal yake ya msimu uliopita yalisaidia team yako kumaliza Top four na kuingia CL final (huku tukiwa na defence mbovu), hayajaisaidia team au wewe kama mshabiki.
Post yangu ya kwanza Wala haikuwa hiyo Rudi kaangalie nilianza kusema tunajitahid Sana kumtetea Salah lkn anatuangusha siku hizi....halafu ndio nikamlinganisha na sadio mane kwa kipind hiki!!!
Kuhusu kufunga Ni sifa aliongea member humu ndio tukasema kuhusu swala la yeye kuwa top scorr na timu kutopata kombe...
Mkuu naona unataka tubishane tu tufanye maisha yawe mepesi KILA MTU AAMIN ANACHOKIONA SAWA

You’re denying your own post dude..

Here’s my last msg kwako;-

“You can criticize your important players (its allowed in football and ni muhimu kwa kuamsha morali zao) but try not to dismiss them or disrespect them becuase you dont know siku ambayo wata-turn up na kukupa matokeo unayoyahitaji”.
 
Trash from Mr Trash!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Wewe Msenge! Kwani huwezi kueka mawazo yako hapa bila ya kuingilia ya Mtu? Au unaona hii JF ni ya Mamako kama mpaka tupost anachotaka mamako?

Kwanza Mimi sikuquote na wewe usiniquote

Tusitafutiane Ban za kijinga

Wewe andika unachotaka na Mimi naandika ninachotaka usiniletee mambo ya kishoga hapa

Mimi Siku nyingi nakuangalia tu na usenge wako

Hebu achana na Mimi Fala Mkubwa wewe hii Liverpool si ya Mamaako wala Babaako
 
Siku akiwa na bad form, people will come here na kum-dismiss like he’s nothing..

These people will be ready to praise good cameos za kina Hendo/Milner/Lallana/Lovren etc na kuponga wachezaji muhimu wakiwa off-form.

Mfano tu, huyo Bobby got a lot of sticks in past few weeks, leo kafunga magoal mawili muhimu kwenye game ambayo tulikuwa tunahitaji ushindi kwa namna yeyote.

Salah scored a goal that sent us through to the next round of 16 in the CL after Klopp disasterclass show at Red star. But you have people dismissing him for his bad patch.

Criticise him, and before crticizing him, watch the game and jilidhishe kama kweli anahitaji kukosolewa au la.
Ukisema uangalie ya nyuma nani wa kumkosoa mourinho?, klopp?. Muda mwingine unaongea kauli huku we mwenyewe unajipinga, bro kabla ya klopp tulifika final uefa lini? Kwa mantiki hiyo klopp naye hapaswi kuguswa hata kidogo maana kafanya makubwa ukizingatia wakati mgumu tuliopitia, HIVI INAKUAJE USITOE LAWAMA KWA MTU ANAYEKABIDHIWA JUKUMU KUBWA LA KUIBEBA TIMU WAKATI MUHIMU HALAFU ANASHINDWA KIZEMBE?, ifike mahali uwe wa mfano mbona unamdiss hendo wakati alikua na mchango mkubwa msimu wa 2013/14 tunakoseshwa ubingwa na gerrald slippery, aaaaah?

kote hakufai
 
Mkuu mimi nakuunga mkono, Gareth Bale pale madrid anaonekana si lolote licha ya kuibeba madrid katika fainali tatu kuanzia copa del rey anamfundisha mabio marc bartra, uefa na atletico extra time, na livepool mwaka jana akaua game kabisa ila leo anapondwa tu Salah yeye nani bwana? Akizingua asemwe tu bwana hamna kulaza damu ku praise upuuzi!
Post yangu ya kwanza Wala haikuwa hiyo Rudi kaangalie nilianza kusema tunajitahid Sana kumtetea Salah lkn anatuangusha siku hizi....halafu ndio nikamlinganisha na sadio mane kwa kipind hiki!!!
Kuhusu kufunga Ni sifa aliongea member humu ndio tukasema kuhusu swala la yeye kuwa top scorr na timu kutopata kombe...
Mkuu naona unataka tubishane tu tufanye maisha yawe mepesi KILA MTU AAMIN ANACHOKIONA SAWA

Sent using Jamii Forums mobile app

kote hakufai
 
Salah watu tunamtetea Sana ila kiukweli anatuangusha hata goli la tatu alikuwa ashazidiwa na beki ni juhud binafsi tu firmino kuuwahi mpira...
Sijui kwann roho yangu huwa inamkubali Sana mane kuliko Salah naonaga kama anapewa sifa kupitiliza ila ukiangalia upambanaji hapo mbele mane anapambana Sana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi upo sahihi kuwa Salah anatuangusha kwa baadhi ya nafasi lakini still kwa upande wangu naona bado ni Mtu muhimu sana kwa timu yetu na mchango wake unahitajika muda wote kwani ana-offer baadhi ya vitu muhimu.

Hata magoli ya leo mchango wake ni Mkubwa tu.
 
Wewe Msenge! Kwani huwezi kueka mawazo yako hapa bila ya kuingilia ya Mtu? Au unaona hii JF ni ya Mamako kama mpaka tupost anachotaka mamako?

Kwanza Mimi sikuquote na wewe usiniquote

Tusitafutiane Ban za kijinga

Wewe andika unachotaka na Mimi naandika ninachotaka usiniletee mambo ya kishoga hapa

Mimi Siku nyingi nakuangalia tu na usenge wako

Hebu achana na Mimi Fala Mkubwa wewe hii Liverpool si ya Mamaako wala Babaako
Ha ha ha punguza jazba mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi upo sahihi kuwa Salah anatuangusha kwa baadhi ya nafasi lakini still kwa upande wangu naona bado ni Mtu muhimu sana kwa timu yetu na mchango wake unahitajika muda wote kwani ana-offer baadhi ya vitu muhimu.

Hata magoli ya leo mchango wake ni Mkubwa tu.
Huo Ni ukweli mkuu...ila hata mara nyingi napoonaga unawakosoa wachezaji wakina hendo na wengine huwa nakuwa mpnz msomaji kwa sababu najua unachotaka Ni mazur kutoka kwao na sio kwamba huwapendi an kwa mfano Leo llallana ulianza kwa kumponda lkn ulipoona amefanya vizur mbona ukampa sifa yake...TATIZO NI PALE MTU ANAPOKATAZA MTU ASISEMWE KISA ASHAWAHI KUFANYA MAZUR HILO BINAFSI NDIO SIWEZI KUKUBALI....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah, Mane, Firmino najuwa kuna wakati wanakuwa katika hali mbaya zaidi na zaidi lakini wote watatu ndiyo uti wa mgongo wa timu yetu.

Siwezi kumponda Salah kwa njia yoyote hile! Sijui kama ni mapenzi binafsi tu!
Lakini ni muhimu kwa timu yetu
 
Jamaa anakera yeye hapost chochote kutoka akilini mwake kinachohusu timu, Bali anasubiri mtu wengine apost ndiyo aanze kuleta ushoga wake.

Kakaa kama Punda hatamani dume mpaka aone mwenziwe anapandwa ndiyo na yeye atatamani kupandwa.
Kausha boss.. watu wana stress na maisha mkuu njia pekee ya kujifariji Ni kukera wenzao!!!!
TULIFANYE HILI JUKWAA KUWA SEHEMU SALAMA YA KUPATA MAARIFA NA KUIPIGANIA JAPO KWA MANENO TIMU YETU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom