squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,190
Hivi mmewahi fikiria liver kuchukua ubingwa hivi karibuni? Kuweni serious mkuu.hakuna kingine ndugu wenye timu wanarudhika top four na uefa kama unavyojua zinakuja na mkwaja..
Klop sioni akitupa ubingwa kabisaaaaa....
sub zake ndio kabisaaaa zinachosha..