Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Juu una Keita, una Xhaqiri, then unaingiza Milner na Lallana?
Hawa Waingereza sijui kama Hawamrifi Klopp 😡😡
Hawa Waingereza sijui kama Hawamrifi Klopp 😡😡
man this boys watasepa ikifika JuneShaqir and Keita against Milner and Lallana hahahahahaaaaaaa
Tayari hamkawii kuchat kwa kimomboKlopp: “Pickford not throwing the ball into his own net at the end of the game cost us our rhythm”
ooooh finaly the wait is over now, how do you feel?Can't wait to see kickoff .........
Usikate tamaa mimi naona hii ngoma bado mbichi mana ata mimi game ngumu ninazo huko mbeleni sasa lolote linaweza kutokea
yap!i have the same thought as yoursFor those of us who thought this was probably our time, we can kiss our asses and wait for another dream next season.
anachokiona camp kwa hawa brexit basi wanamwangusha wakifika kwenye mechi..Yaani wewe uko hapa Tanzania hopefully, unampangia yeye anayeshinda na wachezaji camp?


Juu una Keita, una Xhaqiri, then unaingiza Milner na Lallana?
Hawa Waingereza sijui kama Hawamrifi Klopp 😡😡





😂😂😂😂Huu uzi mna miaka zaidi ya thelathini hamjashangilia ubingwa wa Epl na hamtakaa
mchukue kamwe.
Kwanza wachezaji mlio nao ni makapi hajawahi kushinda kombe lolote hata la mbuzi sasa mnategemea ubingwa kweli kwa staili hii. Mm naona mnapoteza muda wenu tu bora mkashabikie rede au netball😃😃😃😃
Yule Boya kila mchezo tukidondosha Points alikuwa akisema tunaongoza sio mbaya, Tulipodraw na Man United pia alisema kuongoza kwa point 1 sio mbaya.
Na leo namsubiri aseme kupitwa kwa point 1 sio mbaya
Nimechoka nowCalm down bro! By the way He will never take us anywhere near the success
mie nilishasema bila CITi kupoteza tutambulia bila bila...
Dooh wacha tuone mwisho itakuajeUnajua ngoma unaiona mbichi kama matokeo ni ya bahati mbaya, na iwe once.
Since 2019 imeanza, Liverpool inaporomoka kwa kasi moja ya ajabu sana.
Na hakuna dalili za kuacha kuporomoka.