Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu sometimes Stats zinamislead!
DE BRUYNE ametoka injury mbaya zaidi na ya Muda mrefu ambayo mpaka sasa hajawa fiti ndiyomana akawa anacheza kwa kiwango duni.
Na sidhani kama ataweza kuwa fiti tena.

Kwahiyo Origi kumlinganisha na De Bruyne ni kumkosea heshima De Bruyne.
De bruyne hajacheza vibaya mpaka sasa kwa mechi nilizo ona kosa ni hizo asist tu.mfano na chelsea guoadiola aliyumba kumtoa yeye badala ya yule Fenandinho alijichokea kitambo.
 
Ni yule tu anayeangalia Mpira LiveScore ndiyo atasahau kinachoendelea uwanjani Live, Lakini kwa sisi tunaoangalia Mpira kwenye TV/PC/Mobile hatuwezi kusahau Weakness zetu kwa ushindi wa jana.
Ila ni dalili nzuri maana inaonesha hata pale mtu kama Salah anaposhindwa kudeliver, wengine wanajitokeza kufanya hiyo kazi, kama ilivyokua jana

the Legend☆
 
Siku zote Liverpool hupotea kwenye mbio za ubingwa mwishoni kabisa

Ngoja tuone na mwaka huu itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi ushindi wa Spurs umekutoa pangoni...

bila shaka kwa sasa tunachukulia gemu moja moja maana kupoteana hua ni hizi gemu 6 au 4 za mwisho yaani hapo hua sielewi nini hutokea...

msimu huu upepo unakwenda vzuri kabisa ndoo kwa uwezo wa kikosi naamini utatua Anfield th great.
 
Miaka saba sasa imepita toka Liverpool alipochukua kombe la mwisho. Toka hapo hamjachukua kombe lolote. Tena kombe lenyewe the so called MICKY MOUSE CUP.

Mwaka wenu huu EPL naona mnaelekea kuzingua tena.View attachment 1034195

Sent using Jamii Forums mobile app
kabla hajaja Roman na bilioni zake mlikaa muda gani kuja kuchukua ubingwa EPL ndugu...

hivyo sis mtuache tupambane na hali zetu..

hio mickey mouse imekichana kikosi chako.japo babu anadai hali ni shwari..
 
Mkipoteza mtaanza kufanya analysis kwa lugha za kigeni hahahaaaaaa sijutii kuwa JF n

Sent using Jamii Forums mobile app
hehehe ndugu Dully asikwambie mtu inauma sana pale unapoona dalili za kushinda aafu kocha badala acheji system au sub hii anaedelea kung'ang'ania yule au wale waliotufanya tukose hizo pointi...

hivyo ukiona ung'eng'e umezidi ujue tumevurugwo si masihala...

YWNA
 
Matip is very UNDERRATED...!
not sure kaka, he is just having some few cool games...bado naona ni beki wa kawaida sana kua nae 1st team..

au basi kucheza na VVd has made him better n better...

game by game he has shown that instinct that is needed by top defenders kuji position, blocking, interception n.k..hivyo so fa so good..hata kupeleka mipira mbele si haba na pia kufunga he aint lucky but th effort r there...

shinda ya huyu msomali ni majeruhi hayachezi mbali but akiedelea hivi atakua msaada mkubwa sana kwetu siku zijazo...
 
Jamani tuzidi shikamana,umoja ni nguvu
Tupo pazuri sana na nina imani mwaka huu ni wetu
Next game na Everton itakua mechi ngumu sana lkn nina imani sana na vijana wetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
not sure kaka, he is just having some few cool games...bado naona ni beki wa kawaida sana kua nae 1st team..

au basi kucheza na VVd has made him better n better...

game by game he has shown that instinct that is needed by top defenders kuji position, blocking, interception n.k..hivyo so fa so good..hata kupeleka mipira mbele si haba na pia kufunga he aint lucky but th effort r there...

shinda ya huyu msomali ni majeruhi hayachezi mbali but akiedelea hivi atakua msaada mkubwa sana kwetu siku zijazo...

He’s better than Lovren..

Better on the ball too..

And, better passer.
 
Watford ni new Norwich City kwetu..

They always crumble when we play them..

Imekuwa hiyo kwa muda mrefu sana, ni kinda game ambayo you want to play ukiwa unataka kurudisha morali kwenye dressing room.
n i see Norwich in EPL next season..meaning our happy hunting grounds il increase...
 
IN KLOPP WE TRUST NDIO TUNACHOSEMA SISI MASHABIKI WA LIVERPOOL HALISI

MWISHO WA SIKU HAMTOAMINI MTACHOKIONA..#YNWA#

WACHAMBUZI NA WATUKANAJI WACHEZAJI MITANDAONI ENDELEENI TU..

Sent using Jamii Forums mobile app

Key Points za hii Post yako:
1 - IN KLOPP WE TRUS
2 - HUTUTOAMINI TUTAKACHOKIONA
3 - WACHAMBUZI WATUKANAJI WACHEZAJI


Nadhani unatatizo la kutokusoma watu wanachokiandika au Unatatizo la kutokufahamu Maadiko ya Watu, Au huenda ukawa una Tatizo la Kukariri mawazo ya Wengine bila ya Kuzalisha Mawazo ya Kwako.

√ Huenda ikawa unatafuta Umaarufu wa Kuwa Uonekani Kama Wewe ni Mshabiki Bora zaidi unayeumizwa na Unayeifahamu timu kuliko sisi sote humu.
Na tutakapokuuliza umeanza kuishabikia lini Liverpool basi kwasababu humu ni JF hatujuani utatuambia umeanza kuishabikia Liverpool mwaka 1984 na umri wako ni zaidi ya miaka 50+.
Lakini ukiulizwa kijiswali kidogo tu cha mchezaji wa Jana tu hapa Liverpool Christian Ziegi alikuwa akicheza namba ngapi Liverpool na Alikuwa akivaa jezi namba ngapi na alichezea Liverpool Misimu Mingapi utaishia kuniambia Liverpool Fake sijui Mpira.
Wakati ukweli halisi waweza jikuta umeanza Kuipenda Liverpool 2005 ilipobeba CL au sihasha umeipenda 2010+.
Leo eti unajiita Liverpool Halisi kisa tu kuna mtu kajiita hivyo! Kumbe Kukopia Hakukuanza Shuleni! Mpaka JF watu wanakopia mawazo ya Watu.

√ Na Jengine hiyo Kauli yako ya In Klopp We Trust naona unataka kujifanya Mwisho wa Msimu uwaprove watu Wrong Wakati Liverpool ni More than Klopp.
Sisi tunachotaka Liverpool ibebe Kombe na Wala si Klopp abebe Kombe.
Ufafanuzi: Mashabiki wa Liverpool hatuna asili ya Kuwa tubebe Kombe kwa ajili ya Kumpa sifa Kocha, Bali tunataka tubebe kombe kwa ajili ya kujenga Heshima kwa Merseysiders na Liverpoodlians wote in the World.
Kwahiyo wewe kama umekalia hapa Liverpool ibebe kombe ili imjengee heshima Klopp nadhani umekosea Jukwaa, Coz itakubidi Klopp akiondoka Liverpool nawewe umfuate.
Hapa hapana Mshabiki hata mmoja asiyetaka Kombe na Ndiyomana tunamkosoa Klopp kwasababu Kwa hali yoyote ile tunahitaji Kombe Msimu huu.
Sasa sijui unazungumza Kitu gani hapa ambacho unajiona unakiamini peke yako?

√ Mwisho; Nadhani hujui nini Maana ya Kutukuna, Na nini maana ya Kukosoa!
Hivi kuna timu ambayo Washabiki wake Hawakosoi Wachezaji?
Kuna Timu ambayo Washabiki Wake Hawamkosoi Kocha?
Hebu tuambie Kocha ambaye Hakosolowi hapa duniani?
Sasa tunapomkosoa Kocha Kwa Kumueka Bench TAA vs Man United unaona ni Matusi!
Tunapomkosoa Kocha Kwa Kumuingiza Sturridge vs Man Unite wakati kwenye Bench kuna Xhaqiri wewe ona ni matusi.

NAJUI UTAKUJA HIVI:
• Sijui lolote
• Nimeandika Pumba
• Nimetoa Povu
• Na mock nyengine nyingi..

Lakini Hebu Jaribu Kuandika Japo Post Moja Ya Kiuchambuzi ili Tujie Uwezo wako Wa Kimpira na sio Kila Siku unaishia Kusema "Hatutamini Tutakachokiona".

Hapa pana Wachambuzi wenye Kuleta Mawazo yao Kulingana na Mchezo Husika, Lakini Nyinyi muliokuwa Hamujui Hata Kuielezea/Kuichambua game ya Carabao au Championship ndiyo mumekuwa Eti Liverpool Halisi!!! Kwa uhalisi gani Mdogo wangu uliokuwanao?

Sasa Mzee wa Liverpool Halisi, VVD ni beki wetu bora kwa sasa na Ni Beki aliyetimia lakini ANA WEAKNESS FLANI hivi, Naomba unitajie hiyo Weakness, Utakapoitaja Naahidi Kuhama JF pamoja na Kuhama Liverpool leo hii...
Hapo ndiyo tutajua kama wewe ni Halisi na unayeifahamu Liverpool nje ndani
 
Next game Everton gonna be a troublemaker! I can smell it
Silva tho not winning oftenly is serious trouble..

holding th ground n wait for th perfect moment n hammer em is th right attitude..

derbies r won by being patience waiting for an angels kiss to finish th job cool 3 points
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom