MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
You’re very wrong my brother..
Well, you should know kuwa LFC haina a natural creative AM (number 10), Firmino cant be virwed as a 10 now because tayari kishakuwa converted kama false #9. So we dont have that complete number 10.
With that being said, Klopp anatumia zaidi his fullbacks katika kutengeneza nafasi kutokea kushoto na kulia, hence he prefers zaidi offensive oriented FBs kuliko wale defensive oriented FBs,
Binafsi, sikuona tatizo na mid-3 aliyochezesha Klopp against you lot, but tatizo lilikuwa kwa Milner, i mean you have a complete Defensive MF, why deploy a negative player as RB, upande ambao anacheza Henderson (RCM), ambaye naye siyo creator or progressive passer, so kwa maana hiyo we had 2 negative players playing behind Salah, these players ndiyo walitakiwa wamchezeshe Salah kwenye ile right flank, so kwa mtazamo wako unadhani ilikuwa ni Sawa?
I mean, Luke Shaw, spent the entire 90 minutes man marking Salah, unadhani kungekuwa na offensive RB, Shaw angestick na Salah kwa muda wote?
Uliona set up ya OGS?
Hiyo diagram inaonesha kuwa, OGS instructed his entire team to use the left flank, reason ikiwa ni kuzuia kabisa robertson (ambaye ni threat going foward) asilete madhara kabisa hasa katik kupandisha mipira, hence ukaona Mane akirudi deep zaidi kutafuta mipira, because Andy was heavly targeted, meanwhile upande wa kulia, OGS let Milner atawale mpira huku akijua wazi kuwa jamaa hana madhara yeyote going forward (and, we witnessed the same), hence Shaw had a lot of time man marking Salah, kwasababu hakukuwa na hatari yeyote kwenye ile flank (poor crosses, misplaced passes, useless fouls, etc from Milner), Salah had no service, Mane had no service, Gini (our link up player alikuwa hapati mipira from either flanks), robertson was targeted, but what about Milner?
Nilisema hapa kuwa baada ya Mechi kuwa Klopp got out-thought by care taker managers, kwasababu ya hii kitu, it was so clear to see, Milner was useless kwenye game ile, and of all the managers in the world, OGS was the first one to notice that over the titles winning manager Klopp. That was a school boy mistake from Klopp.
Stats shows kuwa, Goal scoring ratio per minute ya salah ni 95 minutes akiwa na Trent and 135 minutes asipokuwa na Trent, yes Trent is not good defensively, but when you have three defensive mids at the park, unahitaji 2 attacking FBs on either flanks kusaidia katika kupeleka mipira mbele, especially in a 433.
I’ve seen a lot of bad performances from Klopp, but that was his worst managerial performance tangu aje LFC.