MTAZAMO WANGU Mtu fulani,
Kimchezo mpaka sasa kwa hii trend tushaukosa ubingwa huku tunaona kisa kiburi cha kocha. Tukianzia 2015 akituhadaa kuwa anajenga timu bwana yule (klopp) yameshapita madirisha ya usajili saba, tuende katika tathmini ya maboresho
Golini hapa nampa 75% katuletea golie ambaye kuna muda anasave timu hivo kuongeza points ambazo huenda tungezipoteza
Defence, ubavu wa kulia sijaona maboresho kwani hata glen alikua wa kiwango hiki hiki hapa anapata 30% endapo backup ya trent ni milner ambaye hata bench man city hakai hili eneo ni mushkheli kwetu. Ubavu wa kushoto only robbo is there match in match out replacement yake ni blackpool type moreno hapa anapata 45% hakuna uhakika wa beki tatu atayecheza na kudeliver kama robbo endapo jinamizi likimpitia. Central hapa kajitahidi 55% kwa kuwaondoa kolo, sakho ila kawaacha lovren na matip wakijivinjari hapo hata katika crucial game eg against man city away that aguero goal, our defence heart rely heavily on single man vvd madirisha saba unasajili vvd na klavan it is gambling guys, we need another vvd type dude to compliment our defence.
Midfield, kilio cha ulimwengu wa liverpool hapa katuongezea watu watatu muhimu kiasi keita, fab, na chambo hapo mtoe dutch man kwan akiwa newcastle was 10. In this area the gaffer scores 40%, why this hajawaondoa mashamukwale akiwa na muda wa kuadjust almost 7 TW ndo eneo limesheheni watu wengi ilhali ni tia maji tia maji plus team selection eneo hili ndo mbovu na ambigous kila leo bado hajui kutumia silaha eneo hili.
Fowards, upande wa kushoto african prince hana mbadala wa kukaribia uwezo wake even for 40% ni kama kiatu cha goliath avae daudi impossible, Kati firmino hapa i agree to disagree ndo eneo hutuua ama hutubeba rarely wakati timu pinzani wana aguero wa 25goals kwa msimu sisi tuna firmino wa 15 gls na assist zisizozidi kumi kwa msimu wa ligi huwezi twaa ubingwa kwa striker huyu kwa misimu ya karibuni kwani timu zote zinazotwaa ubingwa mshambulizi wa kati huwa katika golden boot race (mtanisahihisha hapa). Kulia kwa salah hapa pana hoja kinzani, tokea kyiv incident jamaa sio yule tena kaisha, hatishi yaani kwa kilugha wanasema amefwafwanzika balaa inafika kipindi even ally sonso can stop mo salah pathetic? replacement yake shaqiri at least japo hajaclick to the desired level. At this part of the team klopp gets 50% since ukiwatoa front trio yetu we are like namungo fc. Kosa kubwa ni kutohangaika kupata mbadala wa a natural, talented and fierce no 10 baada ya cou kusepa ye amebaki kukenua meno na kukumbatia wachezaji. Kama mambo yataenda kombo he will leave our team in an embarassed way than even hogson. Nakaribisha hoja kinzani.
cc mosdef, king ngwaba, plesis, malafyale, M-mbabe, marvelous captain, bardbzah and other kops here
kote hakufai