Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hili Ndiyo la Kusoma
MIND THE GAP
Subiri leo kwenye Line-up uje uone Mido ya GINI-HENDO-MILNER Ndiyo utajuwa kuwa bado ADOLF HITLER Yupo hai na Anaishi katika Nafsi za Wajerumani.
Herrera anakiwango kibovu Kama mzamiru yassinMilner No ila Hendo in for 80%
Keita akianza anaweza kuwa chini ya kiwango au red ikamuhusu only if Herrera akiwepo leo
Kama unamuonea wivi ibuka na wewe from somewhereUnamqoute Mshabiki Bandia?
Huyo kaibuka From Nowhere anapita kila thread kujitangaza kuwa Nayeye yupo mshabiki wa Man City.
Milner No ila Hendo in for 80%
Keita akianza anaweza kuwa chini ya kiwango au red ikamuhusu only if Herrera akiwepo leo
Hawakukosea waliowaita Liverfool.Herrera anakiwango kibovu Kama mzamiru yassin
Rashiford Hana tofauti na Rashid juma
Herrera anakiwango kibovu Kama mzamiru yassin

Mzee man u hafungwi akifungwa najiondoa ramsi jamii forum na naweza jinyonga leo ucku
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda threat kwenu man u kushinda mechiYawezekana ila ni threat
Keita uwanjani hajifichi na anapampana hata kama hana game nzuri!
Lakini Hendo leo ataishia Kujificha Nyuma ya Pogba na Herrera kwa dakika zote 90
Keita uwanjani hajifichi na anapampana hata kama hana game nzuri!
Lakini Hendo leo ataishia Kujificha Nyuma ya Pogba na Herrera kwa dakika zote 90[/QUkamai
Hyo ndyo kazi ya defensive middfrider na kila mmoja Ana uchezaji wake alio uamua yet huwezi mlazimisha hendo acheze kivunja Kuni kama phabinho
meaning......Subiri leo kwenye Line-up uje uone Mido ya GINI-HENDO-MILNER Ndiyo utajuwa kuwa bado ADOLF HITLER Yupo hai na Anaishi katika Nafsi za Wajerumani.
Hahaaa.. Time will sayYaani kufunga timu iliyopigwa na Bournemouth 4 - 0, Man City 6 - 0 kunakufanya uje umtambie Liverpool, Bingwa mtarajiwa!

