Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5002.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Clop haambiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
it's not fair mkuu. kwa hili I'll beg to differ.

kiukweli Klopp asingekuwa aaambilika angeendelea na policy alokuja nayo na am telling you tusingekuwa kwenye title contention.

kuna mambo kadhaa (changes) ya msingi aliyoyafanya ambayo bila ya pressure ya fans na wadau wengine timu isingekuwa imefika hatua hii. kama angekuwa "haambiliki" kweli asingemsikiliza mtu yoyote!
 
Hapana Milner yuko bench katikati anaanza Anderson, Gini na Fabinho nadhani team nzuri kabisa Keita plan B
 
Umeona kikosi lakini?
kweli yuko kama fullback samahani, ila inawezekana kwa kuwa Arnold ndio anarudi katika game baada ya muda nadhani Milner atacheza vizuri maana unajuwa kikubwa leo tusipoteze wote tunajuwa tushinde ila draw we will take it muhimu tuwe juu.
 
finger crossed, we come out with good results..

otherwise, questions about Milner's inclusion in the team today will need considerable answers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom