Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,383
Glory Glory MU
Still my thought telling me that tomorrow will be our difficult fixture of the season
Natamani liver apigwe wakati huo huo napenda Man Utd apigwe pia
Ila poa leo bora Man u apigwe halafu liver akafe pale allianz arena.
if we will win it will be for our own benefit jombaa so pambana na hali yako kufight top 4 dont expect any favour from usLiver piga hao nyumbu, washajiaminisha top 4 yao
Natabir leo
Liver 3 man u 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool ya sasa sio kama ile ya zamani tuliokuwa tunaogopa kuchek mechi kwa tv na kujificha livescore huko.
Liverpool ya sasa ni tishio All over Europe.
Endapo Ma n U itaifunga Liver leo, basi nitatuma ombi maalum kwa mods wanipige ban la maisha hapa JF.
Sijaowaona wa kusimamisha moto wa vijana wetu. VVD, Matip, TAA, Robo, Gini, Keita, Fabby, Firmino, Mane, Salah, Shaqir.
Walah anakufa mtu leo. Come on lads👑
Weakness yangu ni moja Mkuu! Bado Ninateswa na past events na Ndiyomana naendelewa kuwa Mtumwa wa Historia.
Kushinda OT kumekuwa ni Kitu kigumu sana kwa upande wetu tokea Ferguson alipoujenga Msingi wa Upinzani.
So, leo Nimeugawa Mchezo kama ifuatavyo:
40% Lose
35% Draw
25% Win
Na Ndiyomana Naenda kutazama game huku nikiwa sina pressure kwavile sijajihakikishia kuwa Lazima tutashinda.
Ni kweli Mkuu ukiangalia historia lakin sio form na class ya wachezaji tulionao msimu huu, believe tuna kikosi hatar sema weakness yetu huwa hatuna mid nzuri kivile.
Man U magoli yao mengi huwa ni counter, tukiwadhibiti hapo tunawaua.

Tulia kwanza.Kumbe Munaopenda Mpira Kwa Matamanio bado Mupo?
Mwamba gemu ya Leo ngumu sana sema tunaweza kushinda 2-1 , au ngoma ikawa drop.