Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na foxes pitch ilikuwa na snow

Na hammers walikuwa well organized they deserve 3pts but they drop 2

Tuna-bounce back tunarudi kwenye form jumamosi
Snow iliwasaidia msifungwe ,sisi tutajitahidi tunawasaidia majirani zetu wachukue ubingwa
Tutampa Pep point 3 na tutachukua point 3 mkija machinjioni Old Trafford

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka ligi ianze salah .mane .firmino .vvd..hawajapata muda wa kupumzka wala majeruhi ....wanajitoa asilimia zote ..lazima wachoke.....city kuna mda aguero anapumzka anacheza jesus..silva anapumzkaga..
hii japo wengi hawaliona ni tatizo kubwa sana maana hatuna depth ya toa nondo ingiza nondo na hii inawalazimu hawa jamaa kua uwajani mechi zote EPL...
Mane na Firmino waliumia wakapumzika,..Sala ndio kila siku yupo..ni binadamu wear n tear inamtafuna tu...wanajitahidi sana

wenzeti Citi wanakikosi kipana na chenye vipaji lukuki huwezi linganisha na timu yoyote EPL..

Kazi tunayo
 
i can smell th winning trend is not far guys...

ukiona shinda zinakwadama mfululizo ujue furaha haipo mbali sana hivyo mateso yetu yameishia London Stadium...
Absolutely man!!

Yaan imebak mashabiki wa liverpool tu dunian + jiji la liverpool(though limegawanyika), na wale british pundits wakiongozwa na carra ndo wanaotusupport liverpool..
The rest of the world is against us

Liverpool vs everyone!!!

We will fight till the last drop!
 
i can smell th winning trend is not far guys...

ukiona shinda zinakwadama mfululizo ujue furaha haipo mbali sana hivyo mateso yetu yameishia London Stadium...

Ukiangalia Games 2 tulizopoteza points 4 basi timu yetu haipo vibaya kama watu wanavyoiongelea.

• Leicester wametufunga goli kwa Set-Piece
• West Ham pia wametufunga goli la aina kama ile la Set-Piece.

Sasa hapo tumepoteza points 4 kwa kushindwa defend Set pieces.

Kwahiyo Klopp kama kocha anatakiwa alifanyie kazi hilo tatizo ili lisiwe linajirudia kwani kila kocha anatusoma kwenye udhaifu huo.

Without poor defending on set piece basi Leicester na West Ham wasingeliweza kusawazisha Yale magoli.

Kwahiyo kabla ya next game kocha anatakiwa afanyie kazi tatizo la set piece.
 
Nilifuta kwa Muda tu Kauli ile.

Sasahivi nimeshairudisha tena kuwa Msimu huu tunabeba EPL.

Na ninajiamini kwa 100% kuwa Msimu huu tunabeba EPL na game mkononi.
Alafu wewe wewe hahahahahaha maana inabidi nicheke tu ...unapoelekea sio kuzuri maana unaandika unafuta unaandika unafuta hii liver naifananisha na simba ya tz ambayo ilionesha kuwa tishio lakini sasa kila MTU anajua kuwa jamaa wanaweza kumaliza msimu kwa kilio wakiwa mikono mitupu....yaani mapinduzi chali,,sportpesa mweleka,klabu bingwa za USO ,FA mweleka sasa imebaki ligi ambayo nayo ni hopeless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Klopp ingawa ndiye anayejua soccer management lakini Next season kama kweli kakusudia kupambana basi asajili Striker wa 20+ goals per season kwenye EPL tu na wala so all competition.

Tunao Salah, Mane na Firmino lakini ninonly Salah ambaye anaweza kufunga 15+ per season kwenye EPL.

Firmino na Mane katika Career yao yote Kwenye ligi hawajawahi Kufikisha goli 15 per season.

Kwahiyo hao si wafungaji na ndiyomana wanafunga kwa zamu.

√ Akianza kufunga Salah, Basi Mane na Firmino huwa ni Wazururaji.

√ Sasahivi Anafunga Mane, Basi Firmino na Salah hawana tofauti na Adam Salamba.

√ Akianza Kufunga Firmino, basi Salah na Mane wanakuwa sawa na Solanke.

Kwahiyo tunahitaji Mfungaji mwenye Consistency kwa kipindi chochote kile.

Unakuta mtu kama Aguero na Harry Kane wanakaa injury lakini wakipona Hawamuachi mtu Salama.

Lakini sisi Washambuliaji wetu wanafunga Kama Hopa za Vipindi.
 
Alafu wewe wewe hahahahahaha maana inabidi nicheke tu ...unapoelekea sio kuzuri maana unaandika unafuta unaandika unafuta hii liver naifananisha na simba ya tz ambayo ilionesha kuwa tishio lakini sasa kila MTU anajua kuwa jamaa wanaweza kumaliza msimu kwa kilio wakiwa mikono mitupu....yaani mapinduzi chali,,sportpesa mweleka,klabu bingwa za USO ,FA mweleka sasa imebaki ligi ambayo nayo ni hopeless

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama hajapona Gomez akaja akshirikiana na VVD Ninachoomba Mimi tufungwe na Bayern tu ili tuwe nje ya CL tusijepata aibu huko mbeleni.

Then Nguvu zetu zote zitabaki EPL, hapo ndiyo mutakapoanza kusema Liverpool ni wachawi.

Mimi sina pressure kabisa na ubingwa wa Msimu huu! Ninajua tu kuwa ni wetu.
 
Kama hajapona Gomez akaja akshirikiana na VVD Ninachoomba Mimi tufungwe na Bayern tu ili tuwe nje ya CL tusijepata aibu huko mbeleni.
Uzuri wa CL ni bahati ikikutembelea ni simple sana kubeba ndoo,ila huku kwye ligi ni ngumu sana aiseeh.....unashangaa unampiga man utd unakuja kubamizwa na Huddersfield inayobuluza mkia.......hapo ndipo utakapouninstal apps ya JF kwa kukimbia notsfctn za haters

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom