DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Mzee wa kujiteka nakuona.Sasa unapaniki nini chaliii ..jamaa kasema ukweli na hiyo comment yake 2009 naikumbuka kabisa..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
aaa ulipambana ndugu ila ndio hivyo haikua siku yako na majeruhi ni wengi kwako...
Hahahaaaa
Soka linapigwa footballically
Kauli hizi ndio zinatushushia dhahma kutoka kwa Allah
Izo gemu 10 nje ya uwanja mutashinda.
Lakini matokeo tutakuwa nayo sisi.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mzee wakujiteka upo,Yeyote anayekutana na Chelsea kwa sasa ana hatari..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Arsenal tumeshamalizana nae!
Chelsea ni Mchicha mwiba tu hana lolote.
Everton ni mjinga kujifanya analeta upinzani kwetu! Atamgaia Man City points 3 za burebure ikisha aje atukomalie sisi ili tusibebe ubingwa.
Man united anataka Top Four na ni Mpinzani wetu, Halafu kwa sasa yupo katika kiwango bora kuliko sisi kwa sasa.
Kwahiyo kwa Kocha asiye na mbinu kama Klopp, basi Man United wanaweza kutufunga kwa urahisi tu.
Mpumbavu peke yake asiyejua maana ya soka ndiye anaweza kuongea ujinga Kama huu unaoongea wewe.Unaongeaga ukweli mchungu ambao hautaki kusikiwa na mashabiki wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
And tungulicallyPia Bahatically inahitajika
May 12 tunasherehekea Ubingwa ndani ya Anfield.
Here we go..................
February
√ 9 – Bournemouth (H)
√ 24 – Manchester United (A)
√ 27 – Watford (H)
March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)
April
√ 6 – Southampton (A)
√ 13 – Chelsea (H)
√ 20 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)
May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Ahahaaaah...Kwanza nafuta kwa Muda hile kauli yangu ya kuwa LIVERPOOL NI BINGWA WA EPL 2018/2019 coz naona hali si shwari
February to march kuna game 1 tu ngumu
Hata game against Leicester & West Ham hazikuwa ngumu lakini umepoteza point 4February to march kuna game 1 tu ngumu
Tutakayofungwa
Kila mechi ni ngumu
Hata game against Leicester & West Ham hazikuwa ngumu lakini umepoteza point 4
Sent using Jamii Forums mobile app