Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sorry naomba kuuliza kwana RB alifungisha hilo goli la leista.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hao hawanaga pont za msingi zaidi ya kuchukia wachezaji wa kiingereza bila sababu,

Kama klop anaogopa kuwaweka wachezaji wa kiingereza bench vipi kwa Unai ambaye timu nzima kuanzia kipa mpaka forwad hakuna mchezaji wa kiingereza hata mmoja.....sometime hadi bench........

Au hiyo ndio siri yenu au ndio sharti mlilopewa na FA msipochezesha wachezaji wa kiingereza hakuna mbeleko?na EPL mtaisikia kwenye bomba hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,

Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,

Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa nao wameshafikia ukomo wa kufikiri furaha yao naiona inaanza kuharibika. Mwezi February kwao hautakaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,

Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,

Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ndio maneno aisee wekedi inaanza poa kwa ari hio...

tatizo ni pale umpige citi aafu Kloop amcheze Henderson beki na mbele yake midfield awe Shaqir na super sub Lalana itakua kwetu ni kilio kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom