Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kila mtu apambane na hali yake,Tuombe kesho man cty aende sale dhidi ya everton
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu apambane na hali yake,Tuombe kesho man cty aende sale dhidi ya everton
Kwa hiyo tutakuwa tunawasubir hadi muanze mapinduzi?Tatizo Januari na Feb kuna kaupepo fulani hivi hua kanatwadama tangu Klopp atie maguu hata hivyoo kanaelekea kukatika..
Storm is ova....
mnaochekelea msakae mbali tukianza mapinduzi.
bwana wee pole sana kwa yaliyokukutaHii hali inaweza kuwang'ang'ania sana tu,
Kumbuka hz dakika za lala salama, kila timu inahitaji point
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tutakuwa tunawasubir hadi muanze mapinduzi?
ushindi OT ndio njia sahihi kabisa ya kuamsha ari ya wachezaji na wajiamini tena kwamba mwaka huu ni wetu....Nakuambia hapo hapo OT unakufa mkuu![]()
Salah kadive mechi kibao, sasahivi itawacost sana, mtanyimwa penati hadi mkomeHawawezi toa penalty tena sababu ya Salah
Nadhani ni makubaliano yao
Sisi tutakuja tu mkuu toka point 7 had had 3 hamjatilia mkazo mnaangusha point kizembe sana japo na timu pinzani zimejipanga kuchukua ushindiMlisubiri tupoteana hivi na sasa mmetuvamia mazima, hivyo na mapinduzi yakianza msicheze mbali...
Game ya Man U ni crucial sana kwetu. Lazima tumchinjie pale pale kwake kwa hali yoyote.
Liverpool haina shabiki kama ww!
Chagua tu team ingine uishabikie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni Kenny Dalglish au Bill Shankly?Liverpool haina shabiki kama ww!
Chagua tu team ingine uishabikie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Toka gemu ya Manciti hatujatulia kabisa, na majeruhi yanazidi kutwadama na wachezaji wanaojaza hizo nafasi za majeruhi nao hawajawa na mchango wa kuleta ushindi....Sisi tutakuja tu mkuu toka point 7 had had 3 hamjatilia mkazo mnaangusha point kizembe sana japo na timu pinzani zimejipanga kuchukua ushindi
Points 3 clear the league is OVER?Nani asiye poteza EPL?
Week jana tu sio zamani Man City kapoteza kwa Newcastle!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Msimu huu Ligi imekuwa ya Maombi zaidi kuliko performance za au uwezo wa timu zenyewe...
Jana: Man City v/s Arsenal
√ Man United aliomba Arsenal apigwe
√ Chelsea aliomba Arsenal apigwe
√ Spurs aliomba Man City apigwe
√ Liverpool aliomba Man City apigwe
Baadae: Man City v/s Chelsea
√ Man United ataomba Chelsea apigwe
√ Arsenal ataomba Chelsea apigwe
√ Spurs ataomba Man City apigwe
√ Liverpool ataomba Man City apigwe
Then: Man United v/s Liverpool
√ Man City ataomba Liverpool apigwe
√ Spurs ataomba Liverpool apigwe
Most interesting ni kwamba!
√ Chelsea ataomba Man United apigwe
√ Arsenal ataomba Man United apigwe
Tumekuwa Wazee wa kuimbeana Mabaya tu! Ikibidi hata mchezaji wa upinzani avunjike mguu mbona powa tu 😀😀


ila hata ligi ya Spain ndo kinachoendelea msimu huu,Ni maambi tu.