Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Paul Ince

"Sir Alex used to say it was about March. When it comes to March, that's when it gets to the business end of the season.

"I'm kind of worried about Liverpool because we're not even in March yet and I'm seeing signs there that they do look a little bit nervous,” he told BT Sport.
Mabingwa mbona mna wasiwasi ?
Naona msimu huu jukwaa limejaa.Sisi tupo tunasubiri Klopp afuate nyayo za Rodgers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie hamu ya ubingwa iliisha toka siku ile tulipofungwa na man cty sababu ya uzembe na ujeuri usiokuwa na maana wa klop.
MKUU HUYU KLOPP KWA UPANDE WANGU NISHAMALIZA VITA NA YEYE MI NATAKA AMALIZE MIAKA YAKE LFC ASEPEE HAIJALISHI ATABEBA NDOO AU LAA ANAKERA SANAA ANABOA SANA

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wazee si kwa kulalamika huku sipati picha mngekuwa ni Ile n jinsia nyingine ingekuwaje.... nimepitia majukwaa mengine nyinyi mna hali nzuri kuliko wengine mnalalama hivi, wengine wasemeje?
Nadhani kwa namna mnavyoshindwa kuhimili pressure ndivyo wachezaji wenu watakavyoshindwa kuhimili mnaweza kutoka kapa this season.

Sent using Jamii Forums mobile app
ishu mkuu sio kulalama hivi hivi ni kwamba ni kawaida yetu endapo tutaukosa ubingwa basi itatuchukua pengine miaka minne tena au zaidi kua na kikosi cha kuusaka tena ubingwa...

tunajijua ndio maana tupo hivi...

amani yangu itarudi pale soccer management ya Klopp ataitumia vyema kupanga kikosi cha kusaka ushindi sio kutupangia wachezaji wa hovyo aafu tunatoka dro au kipigo...

na kingine misimu yote zikibaki mechi 14 wanaokua wanaongoza ligi na nafasi ya 2, 3 ni vigumu kukwepa hizi presha...kazi ya Klopp sasa ni kuwajenga wachezaji wake kuhimili matarajio ya mashabiki, presha za media n.k...
 
Pole but you need to deal with it!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabingwa mbona mna wasiwasi ?
Naona msimu huu jukwaa limejaa.Sisi tupo tunasubiri Klopp afuate nyayo za Rodgers

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaaa

Me wasiwasi wangu ananichelewesha kushangilia maana nataka niwe nakuja kuwasumbua kwenye jukwaa lenu kabla mechi hazijaisha

Tukisubiri hadi mwisho sitapata muda wa kuwasumbua
 
hawa ndio tunafunga nao msimu huu Anfield..

mechi ya mwisho tunao..

if we are lucky n i mean very LUCKY they il give us guard of honour huku tukilinyanyua kombe la EPL

Itakuwa poa sana ila hawa madogo wangekuwepo kile kipindi LFC na Man U wanasuasua aisee wangecheza Europa misimu kadhaa maana sio kwa kuwekea vigingi timu vigongo za EPL
 
Itakuwa poa sana ila hawa madogo wangekuwepo kile kipindi LFC na Man U wanasuasua aisee wangecheza Europa misimu kadhaa maana sio kwa kuwekea vigingi timu vigongo za EPL
Nuno ni kocha anaejiamini sana na ana mbinu za kuwapeleka angalau nafasi ya 7 mpaka 10 wakiedelea hivi...

shinda hawa ni wakikutana na akina Brighton, Crystal n.k hua wana switch off kama sio wao vile wanaojipigia vigogo.

mwenye hii timu pia upande wa mkwaja yupo vzuri nadhani kwa matajiri wanaomiliki timu UK yupo nafasi ya 2 au 3 hivyo amemsapoti sana kocha kuleta wachezaji aliohitaji walivyopanda daraja.

usishangae Everton wakaanza kumfukuzia achukue mikoba ya Silva.
 
Huyo kocha yuko vizuri bwana uongo mbaya
 
Huyo kocha yuko vizuri bwana uongo mbaya
ni mchezaji wa zamani wa Porto ya Murinyo...

mandogo ninacho wakumbali ni mipango ya kusaka goli hawana masihala kabisa..

ni mpira wa kitabu kabisaa...

kijana wake beki Coady hakupata marks za kumbaki sha academy ya Anfied miaka hio ajabu sasa amefufua mpira wake na ni moja ya beki makini EPL..huyu angetufaa sana maana pale nyuma ni kisiki...
 
Tulikua tunaongoza hapa kwa gape la points 4, watu wakaanza kutangaza Ubingwa bila kufikiria matokeo ya michezo mingine iliobaki, hali ya kikosi, falsafa ya mwalimu na Benchi zima ufundi pamoja na management nzima ya club. Bila kufikiria kwamba hitilafu yoyote katika vilivyotajwa inaweza kusababisha title race kua ngumu watu mkaanza kutangaza Ubingwa, sasa gape limeongezeka kidogo (kiddin ) kua points 5 ndo mnabadili kauli, mnafadhaika na kuanza kuleta kauli za kujikinga na fans wa rivals wetu endapo tusipobeba Ubingwa. Ligi bado sana, uwezekano wa kushinda upo.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora gepu la point 4 kuliko 5, kwa mazingira ya kutegemea anayekufukuzia apoteze, liver tunatakiwa tushinde Mara nyingi iwezekanavyo, mambo yalianza kuchacha tulipo gawa point 3 kwa anayetukimbiza wakati matokeo hasi yalipaswa kugawana point. Man city angeshinda last gemu asaiv tungekuwa tunaomboleza.
 
Klopp kuna muda anazinguaga mpaka unahisi ni agent wa Man U kaletwa pale kutu enjoy tu

Siku chache kabla ya game ya Leicester kuna article ilikuwa na hizi comments kutoka kwa Klopp:-

"I don't meet a lot of people, that's the truth. I am here or at home or at Anfield," he said. "I would be excited if I was a supporter of Liverpool, but of course we have to deliver results to keep them all excited.

"It's really not about me. It's really about the supporters, first and foremost. Because they dream so long, I cannot say that I have dreamed 29 years for another title for Liverpool, to be honest.

"But a lot of people dream of that and that's what we try to deliver."

Baada ya kuona kikosi alichokipanga game ya Leicester nilijua kweli amemaanisha hayo maneno yake.

Nasubiri maajabu.
 
Dah wazee si kwa kulalamika huku sipati picha mngekuwa ni Ile n jinsia nyingine ingekuwaje.... nimepitia majukwaa mengine nyinyi mna hali nzuri kuliko wengine mnalalama hivi, wengine wasemeje?
Nadhani kwa namna mnavyoshindwa kuhimili pressure ndivyo wachezaji wenu watakavyoshindwa kuhimili mnaweza kutoka kapa this season.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwani kwenye thread ya timu unayoshabikia hakuna cha kuchangia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom