Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unapoingia vitani ni kuwa tayali kwa kila kitu.... kwa sasa ukilalamika hali uliyonayo wewe sasa man city, United, Asernal, Chelsea or Spurs atasemaje? ni vizuri kushukuru kwa kidogo ulichonacho maana wengine hawapo kwenye position mliyopo na bado mnalalamika.
But hapa sometime nafurahia jinsi manavyoweweseka.
By the way manaweza kushinda game ngumu zilizobaki na mkapoteza points kwa game rahisi so hold your nerves.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa Hapa hatuongelei dini Bali tunaongelea mpira!

Kwenye dini ukiwa Mlemavu mguu mmoja, unapaswa kumshukuru Mungu coz kuna wengine ni walemavu miguu yote miwili.

Kwenye Mpira hakuna kitu kama hicho kuwa tumshukuru Mungu kwa Kupoteza points.

Kwenye Mpira unachotakiwa ni Kushinda Michezo Mengi Zaidi bila ya Kuangalia hali za Wengine kama ni Mbaya au Nzuri.

Halafu Timu nyengine kuwa na hali mbaya sio kigezo chetu kuwa nasisi tunadeserve kuwa na Hali mbaya!! Kila timu ipigane kwa his own way.
 
Kila mmoja apambane na hali yake au siyo?
 
Yah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.

Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.

Angalia hii

  • Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
  • Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
  • Amedraw michezo 7
  • Amepoteza michezo 15
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.
 
Duu...endapo timu yako liverpool ikiteleza hapo juu , sizani kama itaweza kurudi tena kuongoza
 
Yah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.

Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.

Angalia hii

  • Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
  • Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
  • Amedraw michezo 7
  • Amepoteza michezo 15
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.

Natumai na Leo anamfunga man city 2

Sababu yangu ni ushabiki kazi yangu sasa ni kuombea mabaya tu kwa city & totts
 
Yah! Hiyo ndiyo sifa ya mpira kila mtu anapaswa kupambana kivyake na sio tutegemee Timu nyengine ipoteze ili tuongoze ligi.

Kabla ya kumuombea mwengine apoteze, kwanza shinda wewe!
Hayo mengine yatafuata baadae.

Angalia hii

  • Arsenal katika miaka 5 iliyopita kwenye Away games EPL za Big matches amecheza Michezo 23
  • Katika hiyo 23 Ameshinda Mchezo 1 tu (2015 dhidi ya Man City 0 - 2, thanks to Carzola and Giroud)
  • Amedraw michezo 7
  • Amepoteza michezo 15
Sasa Mtu na atarajie kuwa Arsenal atamfunga Man City ili Liverpool aongoze ligi.
Mkuu kweli tumekwisha yaani tunapiga ramli Aseno ampige Citi ili tupumue...

kabla ya mzunguko wa pili kuanza sikuwai kuwaza tutajikuta na hali hii..

hapa tutegemee muujiza kama ule wa Citi kufungwo na N.casto na si kingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom